Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzee unataka ucheze basketball au?.
Anywei First quater kwenye basket ndo mchezo wa kwanza firsr period na kina dakika 12..
Wakti First half ni Kipindi kweye basket ambacho kinakuwa na 2 quater first and second na kina dakika 24..
Kwa hiyo first half ina 2 quater...yenye 24 minuts ila quater ina 12 minutes..

Umenikumbusha kipind nacheza basket kabisa...
Asante kwa ufafanuzi kiongozi mi nataka kuweka mkeka wa basket
 
Kabla ya kuanza kufanya ubashiri tafadhali Zingatia haya

1. Kujifunza kuhusu timu na wachezaji: Ni muhimu kujua timu na wachezaji wanaoshiriki katika mchezo kabla ya kubashiri. Unaweza kuzingatia takwimu za awali, historia ya timu, uwezo wa wachezaji, na hali ya hewa ya eneo la mchezo.

2. Kutafuta taarifa muhimu: Inaweza kuwa taarifa za majeruhi, mabadiliko ya kocha au muundo wa timu, au hata hali ya kiakili ya wachezaji. Taarifa hizi zinaweza kuathiri matokeo ya mchezo.

3. Kufuatilia viwango vya ubashiri: Viwango hivi vinachukuliwa na makampuni ya kubashiri na hutumiwa kuamua uwezekano wa timu au matokeo ya mchezo. Kufuatilia viwango hivi kunaweza kukusaidia kupata maoni ya wataalamu wa kubashiri.

4. Kupanga bajeti yako: Kabla ya kuanza kubashiri, ni muhimu kupanga bajeti yako. Weka kiasi cha pesa unachotaka kutumia kwa kubashiri na usizidi kiasi hicho hata kama utafikiria mchezo utamalizika kwa tofauti kubwa.

5. Kufahamu jinsi ya kubashiri: Kabla ya kuanza kubashiri, ni muhimu kufahamu aina tofauti za ubashiri zinazopatikana. Kuwa na ufahamu wa kiasili cha kuweka dau la wastani, dau la juu, au kuweka dau kwenye mtu anayeshinda.

Kuzingatia mambo haya muhimu kunaweza kukusaidia kupata uzoefu mzuri na kuongeza uwezekano wa kupata faida zaidi katika kubashiri.
 
Hizi game mnazolia nazo kuna watu watapostiwa betpawa ukurasa wao wamezipasua vizuri tu, ni million million tu harafu odds 18000 stake senti 5 🤣😃 hii imeenda
Comments yangu hii inaishi 👆 nendeni mkaone betpawa ukurasa wao game zile Zile uefa, 😁 harafu stake utachoka
 
Comments yangu hii inaishi 👆 nendeni mkaone betpawa ukurasa wao game zile Zile uefa, 😁 harafu stake utachoka
Wahun wale hmn kaz wanawa motivate kuliwa sawa sawa malaya mdogo akiwa anawaon malaya wakubwa inamfany aamn kumbe hela ziko
 
Usikurupuke!!! EB81C2 hii ni ya
Screenshot_20231010-161720.png
October 21&22
 
Mzee naomb hapa maelezo vzur na umepataje hii ishu
Nenda kwenye Bard.google com..andika maelezo ya prediction kama unaweza andika kama mi nilivyoandika au vyovyote unaweka mechi zako na option unazotaka prediction unaweza ukawaomba wakuambie chxhte kile ni AI iliyo online tofauti na ChatGpt kwahyo maelezo yote watakupatia baada ya kurun algorism..

Kwa mfano unaweza andika hivi ....
please predicts these match and provide the correct score ,clean shots,number of cards,number of corner,Double chance ,score GG or No ,under and over ,win to nill, number of goals in both Half based on the stats, H2h ,Characteristics of the match, Properties of the match and other properties please predict for the latest game

pfk piestany vs spartak myjava
sama vs om al qutain
helsingborgs Of u21 vs halmstads bk u21
el sekka e hadid vs gazl kafr eldwar
 
SPORTBET CODE: 47D74EE Leo kidogo kuna shawishi shawishi kueka mkeka kwa mechi hizi za england na kina dada wa uefa ya mungu mengi😎💯📌 NOTE: EDIT CODE 🙏💪
IMG_2612.jpeg
 
Back
Top Bottom