SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,517
- 5,049
Afu kanji kafunga cash out..😂imagine odds 2000 ye mwenyewe anaogopaHii game ya argentino de rosario atapata goli kweli
Maana naona kashapigwa red card matako huyu
Afu kanji kafunga cash out..😂imagine odds 2000 ye mwenyewe anaogopaHii game ya argentino de rosario atapata goli kweli
Maana naona kashapigwa red card matako huyu
Mkuu acha ubishi wa kiwaki bobu angalia matokeo hayo hizo mechi zilikuwa na magoli saba jumlaUnauhakika na unachoongea? Au unakisia tuh lete tuone
Code nilipost labda hukuzingatia au hukuona mkuuJf bhanaa haya Tunaomba mtajiiii... maana code hampost ila won[emoji16]
Bruh utakufa masikiniEndelea kujitekenya![]()
Mwenye hilo group, hayupo amesafiri ila anatuma tu code mara moja moja na kwasababu tunamsumbua. Na ameshasema code zake zieditiwe liko off mwezi sasa.unapokuwa admin wa group usijigambe sana NO CHANCE OF LOOSING. members wameshachoshwa na admins dizaini hii, code ikichana wanareact na dole la kati.
Nimefanya jaribio mikeka miwili ila mechi nyingi ni tarehe 14/10/2023 ,,, mechi tatu tayari Bado 8 under 1.5 1hlf,,,, cjui nishee au nifanye majaribio kwanzasitaki nikuponze wanaweza wakafungana ila kipindi cha pili mi nakufundisha jambo kwenye masoko yako angalia kwenye both to score first half no or yes yaan watafungana kipindi cha kwanza? Ndio au hapana ukikuta yes ina odd kuanzia 4.3 kwenda juu hapo kufungana hakupo haina haja uangalie historia za timu husika hapa nimetumia akili za software za kampun husika ukiona ipo chin ya hapo weka gg wala haina aja kuona ina odd kubwa au ndogo ngoja nitumie utabiri wa kinabii broo hiyo team kwenye maono imegoma kuonekana ila naona no
Bet won💥View attachment 2777613
Nimeiokota sehemu country weka Ghana
ShareNimefanya jaribio mikeka miwili ila mechi nyingi ni tarehe 14/10/2023 ,,, mechi tatu tayari Bado 8 under 1.5 1hlf,,,, cjui nishee au nifanye majaribio kwanza
T8JR8Share
Nimejaribu nimepata majibu hayaNenda kwenye Bard.google com..andika maelezo ya prediction kama unaweza andika kama mi nilivyoandika au vyovyote unaweka mechi zako na option unazotaka prediction unaweza ukawaomba wakuambie chxhte kile ni AI iliyo online tofauti na ChatGpt kwahyo maelezo yote watakupatia baada ya kurun algorism..
Kwa mfano unaweza andika hivi ....
please predicts these match and provide the correct score ,clean shots,number of cards,number of corner,Double chance ,score GG or No ,under and over ,win to nill, number of goals in both Half based on the stats, H2h ,Characteristics of the match, Properties of the match and other properties please predict for the latest game
pfk piestany vs spartak myjava
sama vs om al qutain
helsingborgs Of u21 vs halmstads bk u21
el sekka e hadid vs gazl kafr eldwar
Usiweke option moja mkuu Weka option nyingu ili wwww mwwnyew uchague we umeweka Direct score hapo ,Weka BTTS,Under/over,Double chance na option nyingine nyingi ili wewe uchgue unayoona inaweza kuleta matokeo mazuri kulingana na uchambuzi...Nimejaribu nimepata majibu hayaView attachment 2778473