Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

StitchIt_20231010084116_330.png
 
sitaki nikuponze wanaweza wakafungana ila kipindi cha pili mi nakufundisha jambo kwenye masoko yako angalia kwenye both to score first half no or yes yaan watafungana kipindi cha kwanza? Ndio au hapana ukikuta yes ina odd kuanzia 4.3 kwenda juu hapo kufungana hakupo haina haja uangalie historia za timu husika hapa nimetumia akili za software za kampun husika ukiona ipo chin ya hapo weka gg wala haina aja kuona ina odd kubwa au ndogo ngoja nitumie utabiri wa kinabii broo hiyo team kwenye maono imegoma kuonekana ila naona no
Ngoja nitumie hii kitu kwa under 1.5 1hlf timu nane tu za leo,,,,,, natumai itatiki ngoja nisakue
 
Some
Ngoja nitumie hii kitu kwa under 1.5 1hlf timu nane tu za leo,,,,,, natumai itatiki ngo

Ngoja nitumie hii kitu kwa under 1.5 1hlf timu nane tu za leo,,,,,, natumai itatiki ngoja nisakue
Sio ya kuzingatia sana hyo njia maana hata game ya Burton jana GG first half ilikuwa na 4.36 na Espanyol naye GG first half alikuwa na 4.3 lakini wote walitoa GG Kumbuka huu ni mpira na sie tunabet tu ila wachezaji ni wengine kanji mwenyewe hajui mechi zitatoaje labda zile alizohonga hela kwa marefa na wachezaji au makocha
 
Wakuu, hebu nishaurini kitu hapa. Mimi nataka kujilipua kukomaa na kachochoro kamoja tu ka odd kati ya GG na NG kwa mechi moja moja, yaani nikomae hapo hapo bila kufanya analysis ya game wala nini..

Sasa nishaurini kati ya GG na NG ipi ina potential...
 
hizo zote ngumu kumeza
 
Kwa hiyo hayo yote makaa ya moto😂

Ngoja nifanye ka research uchwara... jana nimeona ligi za ngazi ya chini wanafungana sana hasa za uingereza..
Hapo umeona ingia kwenye uhalisia ujifunze,, stake za leo tupe mrejesho
 
Wakuu, hebu nishaurini kitu hapa. Mimi nataka kujilipua kukomaa na kachochoro kamoja tu ka odd kati ya GG na NG kwa mechi moja moja, yaani nikomae hapo hapo bila kufanya analysis ya game wala nini..

Sasa nishaurini kati ya GG na NG ipi ina potential...
GG ni nyepesi ila kuna mda ni ngumu sana kuna siku umeweka GG ila mtu anapigwa 6-0 Hata goli moja linamshinda! Ushauri wangu Nenda na Over 2.5 mechi moja au mbili weka mzigo subiri wachapane wao magoli haijalishi anafunga yupi we sio shida zako
 
Back
Top Bottom