Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
515AF62 odds 5+ betpawa.
All the best.
All the best.
Mfumo ni kwamba Kila weekend lazima liwepo kubwa jinga watu walifate life .....bookers wapige cheers simple.Hii ni mechi ya pili kwa baselona akiwa ugenini tena na timu dhaifu akidroo!!
Ukiangalia michezo yote yeye anatokea nyuma kupata hizo droo!!
Na changamoto kubwa ni kujiamini kwao kulikopitiliza, wanacheza kana kwamba wako peke yao na kwamba wao wanajua zaidi, hawana haraka , hawana kiu ya ushindi wakiamini muda na ushindi uko upande wao!!
Kiuwezo ni kweli ni timu ya watoto na wanavipaji haswa ila kwa bahati mbaya utoto unapitiliza Hadi kwenye mechi za kupata matokeo!! Hizi mechi watakuja zikumbuka kwenye mzunguuko wa pili..
Option pekee kwa hawa nyumbu ni score au win either half,,, ni timu ya watoto ambao wanajua kuna watu wamewawekea pesa hivyo wanacheza wakijua kuna mafala wanaumia ila watafurahia gonga gonga zetu na mwsho watanuna
Hivi barca yupo away unamuamin vipi kumfata mazima kabisa na unajua hii ni kamali hadi odds ya 1.07 inachana.Sasa kwa stake yake ya mil 1.7 unadhan mchezo
Hata mimi ningekuwa na B ningekula 1x ya granada maaana ilikuwa lazima baka afe au adroo watu waliwe ogopa sana team kubwa zikicheza saa 4 huko au saa tano ..........Mkeka wa Mr MBOJE TZ huyu mwamba alivoona Barca haeleweki akamfuata Granada win or draw kwa M 10 na Kapata Faida ya 5 M
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mtaji anao wakutosha yeye piga nikupige mpaka usande wewe.mrusi huyo,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ana hakikisha anakufa mpaka mwisho
Hii haiwezi ku-work kula hela ya kanji kirahsi ivyoo.Mrejesho ni kama ifuatavyo:
Jana niliweka mikeka 20, ambapo kila mkeka ulikuwa na timu 5. Kila mkeka nilikuwa nabet kwenye GG na NG, kwa maana ya kwamba mikeka 10 GG na mikeka 10 NG timu zikiwa ni zile zile.
Matokeo: Mikeka yote 20 ilichanika. Baada ya kuangalia bet nikaona kulikuwa na chance ya mikeka baadhi kutiki kama ningepunguza timu kwenye kila mkeka.
Leo nimefanya kitu kile kile, tofauti ni kuwa kila mkeka una timu 3.
Matokeo: Mikeka yote ya NG imechanika. Na mikeka 5 kati ya 10 ya GG imetiki.
Kila mkeka nikuwa naweka stake ya Tsh 20. Na baada ya mikeka ya GG kutiki nikapata Tsh 680.53.
Kwa maana hiyo kwenye mikeka ya NG nilitumia Tsh 200 nikapata Tsh 0 na kwenye GG nilitumia Tsh 200 nikapata 680.53
kwa data hizo unaweza kufanya analysis zaidi na ukaona nini cha kufanya.
Hahahaha AI atasema msimu huu.......DR Mambo AMP umefanya jambo la maana sana kutuelekeza jinsi ya kupredict kwa kutumia AI ya Google. hata hivyo AI ya Google bado ina changamoto kama za real time bots nyingine kama AI ya Microsoft (your copilot AI) na AI ya Opera (Aria AI).
changamoto zenyewe ni:
1: zinapredict vizuri mechi mojamoja utakazoziuliza.
2: haziwezi kukuorodheshea mechi nyingi za kesho:
zikikuorodheshea zitakutajia mechi za ligi kubwa ambazo siyo za kesho. mfano unataka kupata list ya mechi za kesho zitakazotoa over 1.5. ukiiambia bot ikutajie mechi za kesho zitakazotoa over 1.5, itakutajia mechi za ligi kubwa hata kama siyo za kesho, yenyewe inakutajia za ligi kubwa tu hata kama siyo za kesho.
Serious,ahaaààHivi serious mtu anaomba mtaji au huwa wanatania?
Wewe nakuonaga unawekaga mikeka ya jero ila mimi mikeka ya buku jero wadau wenye hasira za kuliwa na kanji kila siku walinipopoa hahahahahaSerious,ahaaàà
Ndio ule uliweka jero?
Hili cheko la asubuhi asubuhi Lina maana yakeKi ndege , ki denge ki dege dege dege dege dege dege degeeeee
Aviator pro max kumamamakeeHili cheko la asubuhi asubuhi Lina maana yake
Aviator pro max kumamamakeeHili cheko la asubuhi asubuhi Lina maana yake