Turbo wewe.....Jamani na hapa ni turbo au nisubiri???? Nawatakia siku njema![]()
Powa ngoja nifanye hivyo halafu yeye naunga na hawaTurbo wewe.....
Jana nilikopi na kuongezea kidogo.
hivi reference namba unayotumia kuingiza pesa premier ndo ile id acc màna ñimeingiza tangu jana hawajaniwekea
dah sa hela yangu wameipeleka wapi aiseeSio ile bhana...ukifata hatua za kuDeposite, mwishoni unapewa Referrence no.
sadaqadah sa hela yangu wameipeleka wapi aisee
dah hakuna jinsi naweza kufanya waniwekee kwenye acç mkuu dah inaniuma mbaya maninasadaqa
uliweka mpunga mrefu nini.... hiyo imekula mzee.... nenda ofisi zao kuu pale kariakoo labda utasaidiwa ila kwa uzoefu imekula pande yako kama kamchezo kautotoni KULA MBAKISHIE BABA.....dah hakuna jinsi naweza kufanya waniwekee kwenye acç mkuu dah inaniuma mbaya manina
Chukua tatu za mwanzo kuna karibia pointi mbili hapodinamo tbilisi x2 1.34
eibar x2 1.21
bate barisov x2 1.22
sheriff 1x 1.26
jjk x2 1.72
zulte waregem x2 1.27
falkirk 1 1.28
dundee 1 1.24
odds 9.93
Nasoma upepo.... Natoa tips tu....Ataevutiwa ataufuata na ushauri wako wauzingatie pia.. .. Ntaanza kubet rasmi mwezi wa 8......Chukua tatu za mwanzo kuna karibia pointi mbili hapo
Kumbe likizo tupo wengi aiseNasoma upepo.... Natoa tips tu....Ataevutiwa ataufuata na ushauri wako wauzingatie pia.. .. Ntaanza kubet rasmi mwezi wa 8......
Kumbe likizo tupo wengi aise
😀😀😀😛pyeeeeeeeeeeeMko likizo waaaapi, semeni mnatupia kimya kimya ... vile vya buku 2, 5
Buddy jmos nahitaji odds 2 nataka niweke 500k ili nipate faida ya 500k kwa ajili ya ligi. kila nikichambua naona kama nakosea vile. kama utaziona odds nyeupeeeee nistue kamanda, jmos au jpili.Mko likizo waaaapi, semeni mnatupia kimya kimya ... vile vya buku 2, 5
Mkuu Mimi siwezi kutupia buku 2. Stake yangu ya chini ni Laki mojaMko likizo waaaapi, semeni mnatupia kimya kimya ... vile vya buku 2, 5