Yani tabu tupudaaah, odds kumi za mamelod sundown si mchezo cape yake ilikua na 2.3 Mungu wangu weee. milioni moja kwa milioni kumi. ngoja nijipange kuweka m1 mwisho wa mwezi. maana huu uwoga wa kuweka mzigo wa maana unatucost. hizi buku kumi mwisho wa mwez unajikuta umecheza laki tano alaf yote umeliwa.