Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

bonyeza deposit now upande wa kulia kwako chini ya betslip.. alafu chagua kama unadeposit kwa mpesa, tigopesa au voucher.. alafu fuata jaza kiasi, confirm na utapewa reference no hapo (usitumie acc no kama reference no).. namba ya kampuni pia ipo hapo ni 500700 kama sikosei.. goodluck
Kwa hiyo mkuu lo@dinv reference number ndo ntaitumia kwenye kulipia sio?? Asante sana in advance
 
Dah Nimemla Mhindi Kwa Odds 2.7 Ila Roho Inaniuma Kwanino Sikueka Hata 50k.
Tatizo Ningeeka 50k Ungeshangaa Mijitu Inafungwa Kama Mishoga!
 
Hiyo hawezi kula, Under 2.5 kwa mechi zaidi ya tatu ni ishu. Akila naomba mnifukuze jukwaa hili
Umeuangalia mkeka lakini!!!??? .... Hizi ni under 2.5 kipindi cha kwanza sio mechi nzima..... Na imeshatoa zote....
 
Dinamo Zagreb...

Nilikwambia huyu jamaa atashinda
Screenshot_2016-07-17-20-39-32.png
 
daaah, odds kumi za mamelod sundown si mchezo cape yake ilikua na 2.3 Mungu wangu weee. milioni moja kwa milioni kumi. ngoja nijipange kuweka m1 mwisho wa mwezi. maana huu uwoga wa kuweka mzigo wa maana unatucost. hizi buku kumi mwisho wa mwez unajikuta umecheza laki tano alaf yote umeliwa.
 
Back
Top Bottom