Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Duh..wa kulalia tiari ushachanika, mwaka wangu huu.
kwa mfano rahis tu nan alikua hajui kua leo man utd inashinda na bayern munich inashinda ?? kukosa stake kubwa ndio kunakotugharim hamna mchawsawa mkuu.. ungekuwa na stake kubwa ww binafsi ungechezaj? (option gn labda)
Ahsante mkuu ngoja nijaribuCo mbaya kesho weka tena na ucieka hela nyngi utapga tuu !
Naomba urudi nyuma funua page moja hadi nyingine utapata majibu yote.Salamu zangu kwa wote wakuu
Asanteni sana WAKUU ZANGU pleo Mtanzania Geniustin mwanafunzi wenu leo nimepata mtaji wa kuanzia MABANDANI(kubet)
Kama hamtajari wakuu nahitaji kuijua lugha ya mchezo nikiwa na maana ni humaanisha ikiindikwa hivi
Normal
1(1) x(3) 2(2)
,handcap
1(4) x(6) 2(5)
First half result
1(10) x(12) 2(11)
Second half result
1(13) x(15) 2(14)
Wire1.5
1(16) 2(17)
Wire2.5
1(18) 2(19)
Wire3.5
1(20) 2(21)
Half with most goals
1(22) x(24) 2(23)
Odd or even
0.(25) e26
Both teams score?
Yes(27) no(28)
Draw no bet
1(28) 2(30)
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU
Umesoma Probability?
Unatumia nini kwenye hiyo sequence n series unatumia Arithmetric Progression (AP) au Geometric Progress(GP)..!!???Ukiweka buku 1 ule mwisho buku 5 na ukiweka buku teni ule mwisho buku 30
Ukiweka laki ule laki mbili
Ukiweka laki tano ule laki tano
Kwa wale mliosoma sequency & series angalieni hapo kuna kitu kwa kadri unavyoongeza odd unapunguza dau maana probability inazidi kupungua
Nimeiaoma mpaka maPoisson distribution huko tens advance pure mathematics..... Kupigwa kupigwa tu..... Ukiweka probability humu napo unapigwa tu ..... Kwani Burton Albion kwa probability ni wa kumfunga Stoke city!!???.....
Daaah mambo ya Poisson distribution na normal distribution. Hayo mambo sio ya mchezo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee umenikumbusha mbali sana hiyo Poison process. Aisee haya mambo sometimes unaweza dhania kama uchawi.
We are living in a world with full of possibilities.
Hahaaaaa we mdau unanikunbusha mambo yangu ya adv mathematics huyu atakuwa anatumia logicUnatumia nini kwenye hiyo sequence n series unatumia Arithmetric Progression (AP) au Geometric Progress(GP)..!!???
Atakuwa anatumia logicHahaaaaa we mdau unanikunbusha mambo yangu ya adv mathematics huyu atakuwa anatumia logic
Hawa win mkuu au? Hahah huko kwenye madifferential ndo balaa kuna differential equations by exact technique kuna by rationalizing the denominator etcRoma
Porto
Liverpool
Dynamo Zagreb
Guangzhou ever grade
Atakuwa anatumia logic
T~T
T~F
F~T
F~F
......ila hivi vitu bana..... Haujacheki ma Integration na madeferrentiation ni shidaaaaa
Hapo leo lazima tusafishe nyota.Roma
Porto
Liverpool
Dynamo Zagreb
Guangzhou ever grade
Atakuwa anatumia logic
T~T
T~F
F~T
F~F
......ila hivi vitu bana..... Haujacheki ma Integration na madeferrentiation ni shidaaaaa
Nimeiaoma mpaka maPoisson distribution huko tens advance pure mathematics..... Kupigwa kupigwa tu..... Ukiweka probability humu napo unapigwa tu ..... Kwani Burton Albion kwa probability ni wa kumfunga Stoke city!!???.....