Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ES Sahel v Al-Ahli Tripoli Y
CC Deportivo Municipal v FBC Melgar Y
Wadau nisaidieni hapo nimpe nani Y maana kichwa kimesizi kabisa. Naombeni msaada jamani.
 
Afu eti unakuta Kanjubay kachomoka....nitaandamana.
2b5e79a2b74f96a23bdd2682a4dfd41b.jpg
 
Daah! Rosenburg kashindwa kuvumilia dakika za mwisho!![emoji3][emoji3]
 
wa kusoma kwa kuwa unasema tu au unaandika basi ngoja nikukumbushe kidogo..

1/ ukiweka buku 1 au buku 10 ule buku 5 na buku 30 respectively basi utahitaji si chini ya total odd ya 6.0 na 4.0 kila moja VAT excluded (swali ni je? hizo total odds zina probability gani ya mtu kuweza kushinda hata kwa hiyo buku na buku 10?)

achilia mbali kama unaweza kuafford kulose hicho kiwango unacho bet (japo hata buku ikienda inauma kisirisiri lakini wengi hatuwezi kuonesha humu jf kama imetuuma)..

2/ (interesting part) ukiweka laki ili ule laki 2 utahitaji si chini ya total odd ya 3.0 VAT excluded (hiyo nayo bado ni ngumu kushinda, je uhakika wa kushinda ukoje? ukiondoa maneno tu (maana hata kwenye kanga yapo..))

3/ (even more interesting) ukiweka kilo 5 ili ule kilo 5 si chini ya total odd 2.0 utahitaji VAT excluded (ambayo unaweza bana kende na macho yakutoke nusura yapasuke).. ukiachilia mbali makosa ya kuassign odd vibaya kwenye market/option, je na hiyo nayo ushindi wake unauzungumziaje ? au tunaandika tu humu kama matokeo ya baada ya kushiba?

je utaweza shinda hiyo kilo 5 katika interval ya hata 3 attempts kwa total odd ya 2.0 and above?

mwisho: sisi wote humu ni "jacks of all trades and masters of none" maana yake tunajua vitu vingi sana kuhusu betting (generalists) lakini hakuna anayejua hali halisi ya ushindi (lakini tunajua kupunguza kasi ya kushindwa, lakini bado hatuondoi hali halisi ambayo inaweza kuwa shinda au shindwa..)

lazima tuuzungumze ukweli na siyo kuandika post kwasababu keyboard button zimekaribiana (kama keyboard button zingekuwa moja temeke nyingine ilala na zingine baadhi ya maeneo ya kinondoni? nauhakika post zingekuwa chache lakini ni za maana).. naomba nidadavulie hii kidogo Wa kusoma

#respect

Wakusoma alieka hadi 9k humu na alipgwa tena cdhani km alieka zaid ya timu 2
 
Bora nliwe buku mara 10 kwa cku ! 7bu nnachofanya cna uhakika nao 100 percante
 
Halfu cc wa buku2 ndo 2naowezo wa kupata odds nyng ! Wengine odds 2 mnashindwa kuzipata
 
lengo sio kupata odds nyingi.. lengo ni je odds ambazo unazipata zitakuwezesha kupunguza hatari ya kushindwa?
Hatari ipo mda wote mkuu ! Ila kama ukiamua kujitosa pakubwa unaweka tu..! Kuna mechi 2naeka 1.7 kwa 6 odds anashinda wa 6
 
lengo sio kupata odds nyingi.. lengo ni je odds ambazo unazipata zitakuwezesha kupunguza hatari ya kushindwa?
kuna baadhi probability zna asilimia kubwa ya kushinda wa kusoma yupo sahihi sema tu cc hatuna stake kubwa
 
mim pia siungi mkono makokoro maana smtyms ukweli tunaujua tunafos odds ziwe nying lakin kumbuka the more the teams the more unapunguza asilimia za kushinda ,,,truth
 
Back
Top Bottom