Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu binjo, bado hamna jinsi ya kumfunza mtu awe punter mzuri, jitihada zako zitakufikisha huko, nawe unajibidiisha sana hope utakuwa mahili siku zijazo.

binafsi nitakushauri ujiunge premierbet, au iplay8casino nafikiri itakuwa online wiki mbili zijazo kibongo hao nafikiri washindani wa meridian wakipishana kwa mambo machache.

mechi A vs B Yanga(1-0) vs Mediana(1-0)
dimba taifa
muda 16:00

Normal
1(1) x(3) 2(2)
hii ni kwa dkk 90 + za ziada ila hausu 30 za nyongeza.

1 A ashinde
2 B ashinde
3 watoke draw ~ umeshinda

,handcap
1(4) x(6) 2(5)
mfn
A(+1) vs B

hapa mmoja anakuwa amepewa goli kabla ya mechi hivyo kama ni A kapewa
4 A ashinde au draw ~ umeshinda
5 B ashinde kwa angalau tofauti ya goli 2
6 A afungwe kwa tofauti ya goli moja 0-1, 1-2, 2-3,.....

First half result
1(10) x(12) 2(11)
matokeo kipindi cha kwanza dkk 0 - 45
10 A ashinde
11 B asinde
12 draw kipindi cha kwanza ~ umeshinda

Second half result
1(13) x(15) 2(14)
kama hapo juu ila hawahesabii matokeo ya kipindi cha kwanza inakuwa kuanzua dkj 45 - 90+.

Wire1.5
1(16) 2(17)

Wire2.5
1(18) 2(19)

Wire3.5
1(20) 2(21)

wire zinahusu magoli yawe chini au juu ya 2, 3, 4

Half with most goals
1(22) x(24) 2(23)
22 kipindi cha kwanza ukijumlisha idadi ya magoli yazidi cha pili ~ umeshinda
23 kinyume cha hapo juu
24 idadi iwe sawa

Odd or even
0.(25) e26
jumla ya magoli
25 yasigawsnyike kwa mbili
26 yagawanyikr kwa mbili kwa mfn wa yanga hapa umeshinda, hint 0 inaweza kuwa tofauti kwa nyumba uliyopo ila inadondokea 26.

Both teams score?
Yes(27) no(28)
kila timu ishinde au la, hint: mara nyingi inakuwa dkk 90 ila inaweza kuwa 0-45, 45-90.
27 ndio ~ umeshinda
28 hapana

Draw no bet
unapewa hela timu ikishinda
unarudishiwa wakitoa draw
unaliwa ikifungwa timu uliyoichagua

1(28) Yanga ishinde droo unarudishiwa hela
2(30) mediana ishinde draw unarudishiwa hela

; sija proof read nakimbilia kuandaa mkeka kama kuna wasi popote usisite, kuuliza, kuongezea ..... jiridhishe na nyumba uliyopo maelezo yanaweza yakapishana kidogo.
Asante Mkuu pleo heshima kwako
 
Mkuu ukijiubga na premierbet pesa yako utakuwa unaipateje?

Na itakuwa inakuja kama tsh. Ama dollar
 
Mi nataka niwe natoa na kuweka kupitia m-pesa

Hata mimi ushaur wangu wa kwanza kabisa jiunge PREMIER BET.... wa pili Meridian bet kwa some options they have......

Premier bet unaweza kutumia M-pesa au Tigo-pesa..

Meridian wanatumia M-pesa tu kwa sasa.

USHAURI; Binjo, Tembelea websites za hayo makampuni..Soma maelezo yao taraatibu, utaelewa tu.....kitakacho kutatiza utaomba msaada wetu...

By the way; Karibu sana kujaribu bahati..hahahahhahahh

Japo hela zinauma tukiliwa.
 
Ungejua haya makampuni ya betting ukiweka kokoro wanavyofurahi... Wanajua lazima wakupige tu...Nampa hongera Wakusoma anavyocheza uwezekano wake wa kushinda ni mkubwa..
 
Au uweke buku ikuzalie mia tatu, sio mbaya tatizo kinachotuponza humu hata mimi nikiwemo ni tamaa
Hata kwenye biashara za kawaida mfano huwezi ukawa na mtaji elfu kumi ukapata faida elfu ishirini...faida itakuwa elfu nne kushuks chini
 
Hata mimi ushaur wangu wa kwanza kabisa jiunge PREMIER BET.... wa pili Meridian bet kwa some options they have......

Premier bet unaweza kutumia M-pesa au Tigo-pesa..

Meridian wanatumia M-pesa tu kwa sasa.

USHAURI; Binjo, Tembelea websites za hayo makampuni..Soma maelezo yao taraatibu, utaelewa tu.....kitakacho kutatiza utaomba msaada wetu...

By the way; Karibu sana kujaribu bahati..hahahahhahahh

Japo hela zinauma tukiliwa.
Asante mkuu nimelog in premier bet hatua inayofuataa ni ipi mkuu
 
probability ni nguzo ya gambling science ambayo ina gambling mathematics na mathematics of bookmaking, nk.. kama probability ni part ya gambling basi hata ukiitumia utaliwa na kula kama kawaida japo kuitumia ni moja ya hatua ya kupunguza kuliwa sana(haimaanishi hutaliwa)..

probability haisemi ushindi mmoja 100% (kama event moja (jambo ambalo halina maana kutumia probability)) ndio maana hata underdog (mfano Barcelona na Yanga) bado atawekewa uwezekano wa kushinda japo utakuwa mdogo lakini kuwa underdog hakumfanyi kuwa nje ya uwezekano wa matokeo (probability)..
Besides probability in betting/gambling instincts matters most....
 
Kokoro Maridhawa
 
Attachments

  • 1468774120726.jpg
    1468774120726.jpg
    43.1 KB · Views: 29
Dah wakuu naomba mnielekeze namna ya Kudep0sit premier bet, nshafungua account huku nijaribu bahati yangu na huku
 
Waungwana,Leo tena nilikuwa nafanya jaribio la Option yenye "LOW STRESS"....

Wadau; Under 2.5 FIRST HALF ina uhakika wa 98%

Ingawa ina ODDS chache,ukiweka Timu 6 unaweza pata Total Odds 1.5 hahahahahha au 2.12 au 1.6

Jaribuni mjionee
 
Back
Top Bottom