Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hivi reference namba unayotumia kuingiza pesa premier ndo ile id acc mΓ na Γ±imeingiza tangu jana hawajaniwekea
 
dah hakuna jinsi naweza kufanya waniwekee kwenye acΓ§ mkuu dah inaniuma mbaya manina
uliweka mpunga mrefu nini.... hiyo imekula mzee.... nenda ofisi zao kuu pale kariakoo labda utasaidiwa ila kwa uzoefu imekula pande yako kama kamchezo kautotoni KULA MBAKISHIE BABA.....
 
Mko likizo waaaapi, semeni mnatupia kimya kimya ... vile vya buku 2, 5
Buddy jmos nahitaji odds 2 nataka niweke 500k ili nipate faida ya 500k kwa ajili ya ligi. kila nikichambua naona kama nakosea vile. kama utaziona odds nyeupeeeee nistue kamanda, jmos au jpili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…