Wambie hao na tena wanaliwa kimya kimya!!!!Mko likizo waaaapi, semeni mnatupia kimya kimya ... vile vya buku 2, 5
Kiswahili darasani ulipata shida sana ndugu..... MTU amekwambia "atarudi rasmi" .... Unaelewaje......unajuaje kama anacheza au hachezi!!? Kama anacheza kuna vitu anajaribu kama hachezi pia kuna vitu anavitathmini.... Ila atarudi RASMI ..... Hata kama analiwa kwenye majaribio yake hakuna shida..... Hata soda mnazokunywa na bia na nguo mnazovaaa .... Zilijaribiwa kwanza majaribio mengine yakafeli yaliyofaulu ndio mnatengenezewa.... Mnatumia..... Hakuna ubaya aamue kutulia au kuendelea.... Binafsi Mimi nacheza sana tu tena natupiaga humu ila nacheza for (fun au unaweza sema majaribio sio ile kwamba nacheza ila kuna vitu navisoma navijaribu ).....Wambie hao na tena wanaliwa kimya kimya!!!!
Wambie hao na tena wanaliwa kimya kimya!!!!
Buddy jmos nahitaji odds 2 nataka niweke 500k ili nipate faida ya 500k kwa ajili ya ligi. kila nikichambua naona kama nakosea vile. kama utaziona odds nyeupeeeee nistue kamanda, jmos au jpili.
asante mkuuhalftime/fulltime maarufu kama NGUMU KUMEZA ipo hivi 1(1/1) team mwenyeji aongoze kipindi cha kwanza hadi kipindi cha pili mechi inaisha mwenyeji anashnda.... 2(1/x) team mwenyej anaongoza kipind cha kwanza tu ikifika kipind cha pili team ya ugenin inasawazisha na mechi inaisha kwa sare... 3(1/2) team mwenyeji anaongoza first half halafu kipind cha pili team ya ugenin itasawazisha na kushinda mechi..... 4(x/1) kipindi cha kwanza droo kipind cha pili team mwenyej anashnda..! 5(x/x) kipindi cha kwanza droo na kipindi cha pili droo mech inaisha sare... 6(x/2) kipind cha kwanza sare kipind cha pili team ya ugenin inashndaa.....! 7(2/1) team ya ugenin itaongoza first half halaf kipnd ch pil team mwenyej anasawazsha na kushnda mech.. 8(2/x) team y ugenin itaongoz first half kipind ch pil4 team mwenyej anasawazsha mech inaisha sare.. 9(2/2) team ya ugenin kuongoza mwanzo mwishooo
Heshima kwako Mtoto wa nzi sasa nimeelewa matumizi ya 1,2,XSET YA HALF TIME FULLTIMEINACHEZWA HIVI
1. (1/1) - Ni kwamba timu ya nyumbani kipindi cha kwanza kiishe anaongoza.... na kipindi cha pili pia aongoze.... lugha ni ngymu kidogo.... mfano... mechi ya chelsea na aston villa kipindi cha kwanza kimeisha chelsea anaongoza 1-0.... kipindi cha pili wakatoka 1-1...matokeo ya mwisho yakawa 2-1...kwa maelezo ya SINDANO YA NYUKI ni kwamba (1/1) imekubali wakatihapa inakuwa imegoma...suala ni kwamba KILA KIPINDI ANATAKIWA MWENYEJI ASHINDE ....HUU MFANO WA CHELSEA KWENYE HII SET KICHAA INAKUWA IMEKUBALI CHAGUO LA PILI YAANI (1/X) ili ushinde (1/1) ni kama mechi ya atlectico madrid vs real madrid... kipindi cha kwanza kimeisha atletico kashinda na cha pili pia kasinda....
2. (1/X) ... yaaani we jamaaa utaingiza sana chaka watu.... nilipo highliht unasema kipindi cha kwanza ashinde wa nyumbani afu cha pili wa ugenini asawazishe namechi iishe sare...hicho kitu ni (1/2)....kwamba kipidni cha kwanza kashinda wa nyumbani cha pili kashinda wa ugenini.... mfano... mechi halftime imeisha 1-0 , kipindi cha pili kikaisha 0-1....matokeo yakawa 1-1...kwa maelezo yako unakuwa umekula wakati UMELIWA.....hapo inakuwa first hafl home win second half away win ambayo ni (1/2).... mfano hai....mechi ya nani mtani jembe ...yanga alishinda 3-0 kipindi cha kwanza ...kipindi cha pili simba akashinda 0-3...mechi ikaisha 3-3.... hapo ni (1/2) na sio (1/x)
nikipata mda ntawapa elimu ya kutosha hapa...ila tushaitoa sana kwenye uzi ule wa kule..... ila hili alilojinu sindano ya nyuki....ni bonge la chaka mazeee......please take note....usicheze mchezo usiouelewa...... HAPA MMEINGIWA CHAKA UTASHANGAAA KILA UKIPELEKA TIKETI NIT WINNING TICKET
Woga wangu umaskini wangu nili turbo faster kuhofia Atlanta kumbe ametoboa mraba Duuuuuuuu
Jamani na hapa ni turbo au nisubiri???? Nawatakia siku njema
Ametoboa duuuuuJamani na hapa ni turbo au nisubiri???? Nawatakia siku njema
BET WONOxford Utd - Leicester City
Over 1.5 goals (Half time)
Odds = 2.32
BET LOSTMorecambe FC - Burnley FC
Over 1.5 goals (Halftime)
Odds 2.16
Place a Bet ukiwa umelog in, itakubali nimefanya ivyo. Ama select upya odds za teamPremier bet mbona haikubali kubet, inasema we can not place bet, an error has occurred
dinamo tbilisi x2 1.34
eibar x2 1.21
bate barisov x2 1.22
sheriff 1x 1.26
jjk x2 1.72
zulte waregem x2 1.27
falkirk 1 1.28
dundee 1 1.24
odds 9.93