Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hull city kashindwa 2+.... Bet lost .....
Jana nilipitia hapa nikaenda kutengeneza hili kokoro ila tokea asubui meridian wakawa wanazingua kulog,nimecheki sasa hivi kumbe nimemtusua. in
1469012990719.jpg
 
Jana nilipitia hapa nikaenda kutengeneza hili kokoro ila tokea asubui meridian wakawa wanazingua kulog inView attachment 368042
Naona kokoro limetoka na samaki vichanga kibaooo.... Hongera.... Hapa mi naangalia tu mechi nnilizoziTIP zinaendaje.... Bado nipo kwenye test.... Nilitaka kuziwekea 2000....ndio vile mpaka zimeanza kitu kimegoma nlikua natumia mozilafirefox(kwenye laptop) kama siku zote inagoma... Napata akili ya kubadiliasha browser kutumia GoogleChrome ndio imekubali ... Na mechi zimeshaanza.... Acha tu niobserve ingekuwaje....
 
Unatumia nini mkuu? Pc natumia system ipo poa.
Mkuu siku zote matumiaga simu au laptop nikiwa na simu nacheza nikiingia kwa laptop nacheza .... Browser yeyote ..... Sasa nimeshangaa Leo naingia mozilafirefox kwa simu ikagoma .... Nikaingia kwa laptop bado ikagoma..... Ndio nimebadili sasa kutumia Google chrome ndio imekubali
 
dah ...premier betting wamekuwa mapumbavu sasa.... tangu asubuhi mpaka sasa unajaribu kubet bado "error , bet can not be placed".... kuna aliyefanikiwa kubet leo premier bet
Mi nilitupia mkeka jana usiku, leo nimeshindwa kabisa, wahuni hawa, leo pesa ilikuwa nje nje!
 
Muda wa kuyabinya umekaribia ...

Tianjin Teda - 1X&2+ (odds 1.49)
Pohang - 2X&2+ (odds 1.81)
Bangkok Utd - I1 (odds 1.57)
--------------------------------------
Tota Odds = 4.23
Stake 500K


BET LOST!

Tianjin Teda - game postponed
Pohang - kambwela mshenzi huyu (unapigwaje na litimu liko mkiani huko... mxiuuuuuuuu)
Bangkok Utd - asante sana, nitakubetia tena siku nyingne.
 
BET LOST!

Tianjin Teda - game postponed
Pohang - kambwela mshenzi huyu (unapigwaje na litimu liko mkiani huko... mxiuuuuuuuu)
Bangkok Utd - asante sana, nitakubetia tena siku nyingne.
pole kamanda lakin c ulitangaza kurud august imekuaje tena
 
Waliotangaza kurudi August ni Wa Kusoma na Mtoto wa Nzi bab ... mi siwezi kujicommit hivyo wkt hela yangu iko kwa Kanji, namuibukia muda wowote aisee.

Unamfanyia ziara za kushtukiza..... Na yeye kanji anakushtukiza....
 
Back
Top Bottom