Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Week imekata Premier bet awaingiza hela yangu.
since jumatatu tarehe 11 hawajaweka nasumbuana na vodacom tu hapa. NJIA YA M PESA PREMIER BETTING NI MAJANGA. MJIREKEBISHE

WALIANZA KUNIVITIA MWANZONI LAKINI SASA NAANZA KUWACHOKA
 
since jumatatu tarehe 11 hawajaweka nasumbuana na vodacom tu hapa. NJIA YA M PESA PREMIER BETTING NI MAJANGA. MJIREKEBISHE

WALIANZA KUNIVITIA MWANZONI LAKINI SASA NAANZA KUWACHOKA
Tigo pesa fast a sana
 
Mkeka wameanza upuuzi wao
Ngoja niwahame kidogo kwa muda
 
Jamani naombeni odd 2 tu,
kesho nina safari fupi nataka nitumie za Kanjibai.

Nina nauli ya kwenda sina ya kurudia.

Cc Buddy
Mtoto wa nzi
Root
Mr Wise
Sumve
Kisu cha ngariba
Bologna
Etc

ANGALIZO: NINA ELFU THELATHINI TU NA SAFARI HII INANIGHARIMU ELFU HAMSINI. KANJI AKINIPIGA SAFARI INAKUFA
 
Hahahaha ... August mbali kaka!

Chukua hiyo ya Mr Wise (km game bado haijaanza)
 
Mkeka wameanza upuuzi wao
Ngoja niwahame kidogo kwa muda

Mimi kwa sasa nimejikita Meridianbet ... kwanza lile tatizo lao la "Server error - Ubuntu" limepungua ... halafu wame-improve muda wa kusubiri mpunga km umeshinda. Tatizo la mkekabet wanatuchagulia mechi za kubet halafu wanabana options, mechi nyingi hawana GG au Y ...
 
Jamani naombeni odd 2 tu,
kesho nina safari fupi nataka nitumie za Kanjibai.

Nina nauli ya kwenda sina ya kurudia.

Cc Buddy
Mtoto wa nzi
Root
Mr Wise
Sumve
Kisu cha ngariba
Bologna
Etc

ANGALIZO: NINA ELFU THELATHINI TU NA SAFARI HII INANIGHARIMU ELFU HAMSINI. KANJI AKINIPIGA SAFARI INAKUFA
FC Den Bosch - De Treffers
Over 1.5 goals (Half time)
2.08
 
Hahahaha ... August mbali kaka!

Chukua hiyo ya Mr Wise (km game bado haijaanza)
Sijarudi kaka, hapa natafuta nauli tu ya kesho naenda kijijni. Ndio maana naweka 30 na nikiliwa safari inakufa
 
Mbet ndo wasengerema kweli mechi za mchana mpaka sasa hawajaweka matokeo
 
Back
Top Bottom