Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,984
Nipo shambani hapa mkuukanjibai kakusafirisha[emoji1] [emoji1]
Nasubiri goli moja tu
Nipo shambani hapa mkuukanjibai kakusafirisha[emoji1] [emoji1]
Nasubiri goli moja tu
Hahaaaahaaaaa........ Kokoro limechanawa na kamongo..... Mamaaaeee.......
Italy nina wasiwasi nae so take care
Italy nina wasiwasi nae so take care
Italy watascore as well england watascore so tyr goli mbili hapo la ushind litatafutwa na yeyote ambalo ni bao la 3 na la mwisho go oNnimewapa wafungane magoli kati ya mawili hadi manne (i.e. yasipungue mawili na yasizidi manne) ... ww unahisi hawatafikisha mawili au watazidi manne? au hawaeleweki niachane nao? mbona umetoa ushauri unaoning'inia mkuu ...
Kwani hukutumiwa PIN mpya..?View attachment 368643
Wakuu masaada kwann mkeka hii system yao mpya nkiweka pin wanadai 4 wakat mwanzo zlikua znaingia 5
View attachment 368657
Mimi yangu imekaa hivi.
Ngoja na mim nitembee naoView attachment 368657
Mimi yangu imekaa hivi.
Nitakutafuta baadaeGoteborg WIN (20:00)
Qabala WIN (20:00)
Zamaleck WIN (19:30)
Odds 3.14
Bora hiyo ya WaIndonesia imekupita maana washatia nuksi..najua unangojea mechi tatu sasa hivi.All the bestMkuu ngoja tufe wote, ingawa hiyo game ya waIndonesia imeshanipita. Nachukua zilizobaki km zilivyo ... sitii mbwembwe
Mwenyewe niliidharau hiyo game kumbe ndo ilikuwa heri.Mpira bwana. Y ya sriwijaya ilikua na 2.73 alafu wametoka 2 - 2. Yani hadi niliiogopa kuifata.