Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaah, zinaendelea aisee ... uuuwiiiiiiiiii, Tampines


Tampines daaaah ... angeongeza goli tu hapa mambo yangekuwa mswano, grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

upload_2016-7-21_17-59-27.png
 
Hizi mechi zikitoa tu over 3.5 nimekufa
Ngoja niombe hadi saa sita usiku maana kuna wehu hapa
 
Naona bado ziko under 3.5 leo nataka nione nani mchawi
 
Back
Top Bottom