Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,984
Unamtafuta nani hapa? Au umepotea njia. Umbea tuHabari zenu wakuu naona bado mnaendeleza harakat
Unamtafuta nani hapa? Au umepotea njia. Umbea tuHabari zenu wakuu naona bado mnaendeleza harakat
Bado dakk8.... Afe yeye au sisi......Leo ni leo leo ni leo afe yeye au sisi
Kauli yangu inatatizo gani wa kusomaUnamtafuta nani hapa? Au umepotea njia. Umbea tu
Mi nishafunga hesabu kakaAustia wien anaua leo
Bora Wakusoma alieweka 2+
Samahani naona miwani yangu ilitazama vibaya! Kuna jamaa huwa anakuja hili jukwaa na kututukana eti tutaishia kuliwa tu.Kauli yangu inatatizo gani wa kusoma
Hamna shida mkuu hata mimi ni mdau wa kubeti ila nilipumzka kdg tu nw nmerud tena kwenye game tumkaange mhindiSamahani naona miwani yangu ilitazama vibaya! Kuna jamaa huwa anakuja hili jukwaa na kututukana eti tutaishia kuliwa tu.
Kumbe sio wewe
Ok, karibu sana na asante kunisamehe. Mimi niliaga nitarudi August kwa sasa nadesa mikeka ya watu taratibu kukuza akauntiHamna shida mkuu hata mimi ni mdau wa kubeti ila nilipumzka kdg tu nw nmerud tena kwenye game tumkaange mhindi
Root usikate tamaa, tunaomba wafungwe speed governer na kwa vile sisi tuliobet 2+ ishatoa nadhani maombi yote yapo upande mmoja.Inaitwa game over Austria wien kaharibu mapema kweli daaah
Hongera kaka! Tukutane hapa hapa kesho. Hii ni kaziHali ilikuwa ni tete, kwa leo alikuwa ameshanipiga 40K ... nikaona ni upuuzi ngoja nimuendee "In-Play" kwa dau la 100K ... ndani ya nusu saa nimeshampiga 100K na usheee ...
View attachment 368936
Inanitosha kwa leo, ntalala kwa amani. Kesho tena mweno ni in-play tu hakuna namna.
Tuko pamoja wa kusomaOk, karibu sana na asante kunisamehe. Mimi niliaga nitarudi August kwa sasa nadesa mikeka ya watu taratibu kukuza akaunti
Mkuu in play nzuri sana kama kuna friendly match. Mimi imenikuzia mtaji sana,nina mda mrefu sijatupia hela kwenye account ya meridian.Hali ilikuwa ni tete, kwa leo alikuwa ameshanipiga 40K ... nikaona ni upuuzi ngoja nimuendee "In-Play" kwa dau la 100K ... ndani ya nusu saa nimeshampiga 100K na usheee ...
View attachment 368936
Inanitosha kwa leo, ntalala kwa amani. Kesho tena mweno ni in-play tu hakuna namna.