kwetugt
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 297
- 293
Mie nilicheza half time washinde na wameshinda tatzo uingereza kaharibuBora hiyo ya WaIndonesia imekupita maana washatia nuksi..najua unangojea mechi tatu sasa hivi.All the best
Mie nilicheza half time washinde na wameshinda tatzo uingereza kaharibuBora hiyo ya WaIndonesia imekupita maana washatia nuksi..najua unangojea mechi tatu sasa hivi.All the best
mfano mzuri wa matumizi ya beti kulipia huduma!, mi nilikua nabeti kwaajili ya hela ya bia tu, msimu huu nabadilika, naongeza na bill nyingine kwa mfuko wa mdosi.Nipo shambani hapa mkuu
Bora hiyo ya WaIndonesia imekupita maana washatia nuksi..najua unangojea mechi tatu sasa hivi.All the best
Gent win
AIK win
Aberdeen win
Kwa hisani ya clevertips.net ... sijui nikotaje Odds 3 hapa nitoke na 100K. Ushauri tafadhari
View attachment 368759
Kaka mbona premer inanipa shida toka juzi? Nikiweka mkeka nlitaka kulipia wananiambia Error bet cannot be placed. Leo nimebahatika kuharibu mmoja umekubali bt huu wa pili umegoma imerudia vilevile. Nini suluisho hapa?cheza magoli kaka. Mechi hazieleweki hizi.
Stromsgodset v Sonderjyske Y
AEK Larnaca FC v Cliftonville FC Y
Osmanlispor FK v FC Zimbru Chisinau Y
Kama unataka hela chukua hizo mwanangu kabla Muhindi hajafungia kile kipengele cha Both teams to score
Kaka mbona premer inanipa shida toka juzi? Nikiweka mkeka nlitaka kulipia wananiambia Error bet cannot be placed. Leo nimebahatika kuharibu mmoja umekubali bt huu wa pili umegoma imerudia vilevile. Nini suluisho hapa?
Hehehehe ... hizi game za Singapore zote zimekuwa Interrupted boraa maana hali ilikuwa tete, Tampines sidhani km angefikisha goli mbili. Ngoja wachina wamalize nijaribu kuturbo
View attachment 368789
Jaribu kubadili browser ....Kaka mbona premer inanipa shida toka juzi? Nikiweka mkeka nlitaka kulipia wananiambia Error bet cannot be placed. Leo nimebahatika kuharibu mmoja umekubali bt huu wa pili umegoma imerudia vilevile. Nini suluisho hapa?
Buddy inaonesha unakamtaji leo. kua mtulivu kaka. Maana hayo mamechi ya singapole hayaelewekagi. Tafuta mechi ambazo timu zinapambana ili zivuke hatua nyingine. Si umeona jana mechi za UEFA kila moja anafuta goli apite.
Ndio narudi mjini kutoka shambani, wafanyakazi nimewapiga ofa ya maziwa.
Nipeni odd mbili nipoze maumivu ya shamba
Hehehehe ... hizi game za Singapore zote zimekuwa Interrupted boraa maana hali ilikuwa tete, Tampines sidhani km angefikisha goli mbili. Ngoja wachina wamalize nijaribu kuturbo
View attachment 368789