Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

FC Den Bosch - De Treffers
Over 1.5 goals (Half time)
2.08

Mkuu nilikupa iyo ukakataa, sasa dk ya 33 ni BET WON....umeikimbia nauli
Hiyo mechi niliitafuta mkekabet nikaikosa. Nitafutie nyingine plz
 
Wakusoma mpe Y man city. Dyanmo zagreb over 0.5 goals first half.
 
H

Hahahaha ... umenchekesha sn Wa Kusoma ... mwana amekupa odds unasema awe serious.
Hizo odd 3 alizoziogopa Wakusoma leo lazima zitoe.....hao watoto wanaongoza 1 bila muda huu!!Dundalk hawawez maana game ya kwanza alitoa nao sare kwake eti leo yuko ugenini mhindi kawapa hao watoto odd 3
 
Tayari nimeshapata nauli
 
Back
Top Bottom