Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Mkuu in play nzuri sana kama kuna friendly match. Mimi imenikuzia mtaji sana,nina mda mrefu sijatupia hela kwenye account ya meridian.
Saaana, yani ndani ya nusu saa nmepiga 124K ... namkumbuka sana Upendodaima hapa. Ndo mambo zake hizi. Na mimi saiv ni mwendo wa in-play tu. Mambo ya kusubiria mkeka af anatokea mshenzi mmoja ana kuvurugia sitaki tena.
Hebu check km hawa wajinga .. wanashindwa kufikisha goli mbili ... mxiuuuuuuuuuuu
