Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya kupumzika muda mrefu nikakumbuka muhindi namdai Leo nimeanza kuijaribu deni langu kudai
Man u win
Panduri win
 
home atapata goli kweli??


Nimempa apate goli moja na kuendelea kipindi cha kwanza. Hiyo game yao inaweza ikatoa GG kipindi cha kwanza. Naona km inaweza kuwa 1-1 hvi (HT). Lakini I1-2 nafkiri ni option nzr kwa hawa Singapore.
 
[4/4]
0505 22-07 20:00:00 Brann-Aalesund
Final Score 1 1.43
0750 22-07 21:15:00 AGF Aarhus-Viborg
Total Goals 2+ 1.36
0940 22-07 21:45:00 Galway FC-Wexford Y.
Final Score 1 1.65
0001 22-07 21:45:00 East Stirling-Rangers
Under/Over 3+ 1.25
 

Nimempa apate goli moja na kuendelea kipindi cha kwanza. Hiyo game yao inaweza ikatoa GG kipindi cha kwanza. Naona km inaweza kuwa 1-1 hvi (HT). Lakini I1-2 nafkiri ni option nzr kwa hawa Singapore.
Kaka naona mambo mazuri
 
Kaka naona mambo mazuri


Hahahaha ... nlikuwa nasubiri game ya Pascoe Vale liongezeke goli moja kipindi cha pili coz nliwapa II> ... lkn halikuja na mkeka umeshachanika. Nafikiri ninakoelekea mambo ya mikeka itanishinda. Ntakuwa nacheza "In-plays" tu ... na nimecheza moja hapa nimepiga 50K.

 
Nimempa apate goli moja na kuendelea kipindi cha kwanza. Hiyo game yao inaweza ikatoa GG kipindi cha kwanza. Naona km inaweza kuwa 1-1 hvi (HT). Lakini I1-2 nafkiri ni option nzr kwa hawa Singapore.


Kumbe ningeichukua hii game moja nikaweka "Exact Score HT: 1-1" km nlivyohisi awali.


I1-2 was also a perfect pick for both games
 
kesho nakufa na juve wadau. first half over 1.5 goals odds 2.42
Stake 100k, leo naona mapichapicha tu.
 
hv jaman Kati ya premierbetting na meridianbet ipo n nzr zaid kwa hii biashara.
 
hv jaman Kati ya premierbetting na meridianbet ipo n nzr zaid kwa hii biashara.
Allan248 meridian walikuwa vizur SS ivi wanazingua flani, premer nao walikuja wanguwangu na mwendo wa kufurahisha sasa hivi nao wameanza matatizo unawezakuwa unalipia watakwambia Error bet cannot be placed hio imeshanitesa na kunikosesha hela Mara kibao hata Leo/sas hivi.
 
dah kumbe majanga m huwa natumia meridian by naomba udambwi tu nikadhan premier wacko gud
 
dah kumbe majanga m huwa natumia meridian by naomba udambwi tu nikadhan premier wacko gud
Wananitesa hapa sasa ni mara ya tatu nimelipia sasa ivi umegoma tena agrrrr wasechu kweli hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…