Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Premier bet wakijirekebisha itakua bonge la kampuni. Meridian nawapenda kwa inplay tu. Meridian wananikera kubania Stake kubwa. Kunasiku mechi unaiona vizuri unataka uweke 2m alafu wao kiwango Chao mwisho laki 2 nadhani.
 
Mmmh laki mbilii?
 
Mmmh laki mbilii?

yaah mwanangu, maana ile mechi ya Yanga na Mazembe nilideposit milioni moja ili niichezee inplay kama Mazembe atakua wakwanza kupata goli. Matokeo yake nikaambiwa stake ni kubwa, nikatupia 500k ikagoma. Ila nilipoweka 200k ikakubali. Na bet ikawa WON
 
Niaje Humu baada ya Mapumziko yakutosha karibia msimu mpya unakuja nime jiandaa vya kutosha baada ya mapumziko yakutosha tutakua tunaonana humu kama kawaida nime wamiss sanaaaa yani

karibu jembe. Utulivu unahitajika kaka. Au kama vipi tembelea Nyota za watu siku mbili tatu ndio uendelee na upako wako wa zamani.
Juventus over 0.5 goals 1st half
odds 1.30
Stake 100k
Hapo utapata RAT 30K
Fungu la kumi Tsh 3,000(sadaka kwa Mwenyezi Mungu)
Pesa yako kama mtumishi wa Mungu ni TSH 27,000 Tu. Baada ya hapo ni full upakooooo.
 
Nahitaji sana pesa leo wacha tu nibet kwa tamaa ama yeye ama mimi. Sala na dua zenu mhimu hapa.

Yokohama win
Kawasaki win
Odd 3.2
Stake 900,000
Return 2.8M
Meridian wanataka kunipishanisha na pesa hapa..
 
Premier bet naona walikuwa wanakarabati website yao, wamekuja na mobile version and ila inaboa sana kutumia
 
Nahitaji sana pesa leo wacha tu nibet kwa tamaa ama yeye ama mimi. Sala na dua zenu mhimu hapa.

Yokohama win
Kawasaki win
Odd 3.2
Stake 900,000
Return 2.8M

Daah, All th best Wa Kusoma. Mzigo mnene huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…