Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau samahanini..
Hii premier betting minimun deposit n ngapi kwani,na kwny tgo pesa option ya referrence number hujaz akaunt number km meridian or'
Mana naona km inazngua'
 
Hahahahaaaaa! jana nilimpigapiga kanji mara kadhaa,mwisho nikamrudishia zote kwa mara 1,nikijaribu kuzuia goli ziwe under 7.5 mechi ya Amkar na ilikuwa dk ya 84 ilikuwa 1-5,lakini FT ikawa 1-7,kamkeka kangu pwaaaaa.
Nikalipia buku 4 tu nipate mtaji wa kesho,ikagoma kudisplay ingawa sms ya m pesa nilirudishiwa,nikalipia tena buku 5 nayo ikawa vilevile,hiyo ilikuwa ni mkeka bet,nikamute na nikalipuka na odds 150 kwa m bet kwa buku 1,lustenau peke yake akazingua,leo nacheki account yangu ya mkeka bet,nakuta salio 17,000 baadala ya 9,000,nikakuta sms 3 natumiwa kuwa malipo yako ya 4,000 yamepokelewa,nikasema konyo zenu nyie,nikawithdraw kwanza mteze nithibitishe upepo,kitu kikawa ngwaaaa,ikabaki buku 7,nikadesa buku 5 kwa mkeka wa wakusoma na nikamuongeza na over 1.5 Juventus .
 
Wadau samahanini..
Hii premier betting minimun deposit n ngapi kwani,na kwny tgo pesa option ya referrence number hujaz akaunt number km meridian or'
Mana naona km inazngua'
Kudeposit n kuanzia Tsh1000/=
Unapo select deposit either kwa tigo pesa/M-pesa uta anza kwa kuingiza kiasi hatua itayofata ni ku confirm kiasi unacho taka kukiweka sehem ya tatu na ya mwisho wata kupa maelekezo jinsi ya kufanya ayo malipo kwa njia either ya tgo/mpesa ambapo namba ya biashara utapewa pale 500700 na chini yake wata kua wame kuandikia TRANSACTION ID ****** iyo ndio uta tumia kama kumbukumbu namba (reference no#)
 
Mkuu sorry,apo kwny tigo pesa,ukishaandka io 500700,inafuata kuingza reference number,apo naweka ilyo
Mkuu sorry,apo kwny tigo pesa,ukishaandka io 500700,inafuata kuingza reference number,naeka namba ipi kww maana nikiweka ile yenye digit 5 iko juu kwenye page yangu ya account inakataa
 
Utaliwa wewe, unatakiwa uanzie kwanza process za kudeposit kulekule premier kwa kuingiza kiasi unachotaka kudeposit then itakupa reference number ambayo ndo utaitumia kulipia.
 
Niaje wadau, nimekuwa nikifatilia sana huu uzi taratibu, mie ni mdau mkubwa sana wa betting, nina wazo moja kama mtakubaliana nami.....naomba tutengeneze group la watsap maana ni easy kupata update mda wowote, kwa wale walio tayar na idea yangu comment namba yako nikuadd maana ligi mda si mrefu inaanza tuwe makini tuweze kukusanya pesa
 
We unataka kuanza kuchafua hali ya hewa subiri wana kuja..
Jiandae kwa lolote
 
Soma vizur nilicho kuandikia pale mwanzo hyo reference namba utapewa baada ya ku confirm malipo kweny account yako ya premier na sio utumie ile ambayo una iona apo juu ambayo hua haibadiliki fata hatua za kudeposit taratbu uta elewa
 
Nipo safarini kaka naenda Dar, ni ama Kanji anipe pesa ya kufanya vurugu kwa Makonda au azichukue nirudi bila zawadi ya mama


Hahahahah ... zawadi kwa bi mkubwa lazima itapatikana, Inshallah
 
Leo kuna mechi zaidi ya 300 ... hivi tumelogwa kushindwa kubashiri hata mechi 5 tuu???????? Ngoja niingie kazini !
 
Toa toa toa ...uchafu wako...umewezaje kuingia humu alafu unataka wassap...kama huwezi kushare mikeka hapa...anzisha Uzi wako wa kutafuta watu wako wa wasap..watu tunawinda we unaleta wasap hapa..
 
Toa toa toa ...uchafu wako...umewezaje kuingia humu alafu unataka wassap...kama huwezi kushare mikeka hapa...anzisha Uzi wako wa kutafuta watu wako wa wasap..watu tunawinda we unaleta wasap hapa..
Mapovu ya nini yote hayo kamanda,
 
Weka mkeka hapa...kama unataka watu mkaanzishe mambo yenu ya wassap anzisha Uzi wako..sio unaita watu kupitia hapa. .alafu unafikiri huko wassap ndio jibu la kumpiga mhindi???
Basi punguza munkari, hilo lilikuwa ni wazo, hasira hazijengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…