Koma, na ukashindwe na kulegea kabisa (kwa lafudhi ya prezdaa)Niaje wadau, nimekuwa nikifatilia sana huu uzi taratibu, mie ni mdau mkubwa sana wa betting, nina wazo moja kama mtakubaliana nami.....naomba tutengeneze group la watsap maana ni easy kupata update mda wowote, kwa wale walio tayar na idea yangu comment namba yako nikuadd maana ligi mda si mrefu inaanza tuwe makini tuweze kukusanya pesa
Wazo gani la hovyo namna hiyo?Basi punguza munkari, hilo lilikuwa ni wazo, hasira hazijengi
Hilo swala tushapiga marufuku humu, pitia peji za mwanzo na sio unaandika tu maana wewe sio wa kwanza.Basi punguza munkari, hilo lilikuwa ni wazo, hasira hazijengi
Game gani hiyoHii ball possesion inanipa mashaka.
Naamua kuzima simu tu.
KawasakiGame gani hiyo
Umempa nani?Kawasaki
Tuombe radhi kwanza, unamalizaje kesi juu kwa juu kirahisi hivyo aise( kwa rafudhi ya kaskazini)Basi potezeeni isiwe mada, leteni mambo tusonge mbele
Bac wa kusoma unamind kichiziTuombe radhi kwanza, unamalizaje kesi juu kwa juu kirahisi hivyo aise( kwa rafudhi ya kaskazini)
Naona hata Japan leo Magoli yatakuwa shida, hii itaua watu wengi kimya kimya kama last weekAsanteni sana juventus over ht imegoma
Hiyo ni over/under ngapiView attachment 369768
Mwenye macho afanye yake
Acha kujizungusha omba radhi yaishe! Bac ndio nn?Bac wa kusoma unamind kichizi
Anavunga.......... Afu maswal yanakuwa mengi kila sa kuuliza uliza ashiiiiiAcha kujizungusha omba radhi yaishe! Bac ndio nn?
sure bet.View attachment 369768
Mwenye macho afanye yake