Acha ujuajiAnavunga.......... Afu maswal yanakuwa mengi kila sa kuuliza uliza ashiiiii
Hatari sana hiyo, naona wamejisahau, dawa ya hapo ni kuicheza mala mbili, unaipa 100,000 under, then unaipa 20,000 over....hehehe, yoyote utayopata unafaida.View attachment 369768
Mwenye macho afanye yake
Hahahaa...sijui wako wapi hawa watu embu waite, kila siku wanalialia tu humu leo fursa ya wazi kabisa wanashindwa kuchangamkia.hyo unacheza hv..
2,000,000 / 2.05 = 975,610/- (unabet kwny kampuni nyingine yenye odds zinazolingana au juu zaid)
2,000,000 / 17.0 = 117,650/- (unabet kweny kampuni hiyo)
maana yake utabet jumla ya sh 1,093,260/- kwny matokeo yote.. haijalishi matokeo yatakuwaje unasubiri milioni 2 zako (wala haina haja ya kuangalia matokeo na kende zitakushukuru siku hyo)
Ubaya wa Hawa jamaa hawanaga single betHahahaa...sijui wako wapi hawa watu embu waite, kila siku wanalialia tu humu leo fursa ya wazi kabisa wanashindwa kuchangamkia.
Ni M Bet hao, bado iko vilevile aisee.haha sijajua ni kampuni gani hyo na hatuwezi jua kama wamebadilisha hzo odds ama lah.. maana kama iliwekwa kimakosa watu wengi wataplace bet kweny hyo market na watagundua mapema..
Tatizo hawana single bet so hapo inahitajika calculation kali sanaNi M Bet hao, bado iko vilevile aisee.
Angalau nimepumua, sasa mechi hata ikiisha..heheKawasaki
Oi hiyo ni over/under 2.5Ni M Bet hao, bado iko vilevile aisee.
Una miaka mingapi wew bwana?Basi potezeeni isiwe mada, leteni mambo tusonge mbele
Miaka yangu ya nini?Una miaka mingapi wew bwana?
Mwaka wa taabu..ansan nae anazingua dah.
Nilikufollow follow..,kuona mechi mbili nikahisi uhakika kwa mbaali nikaweka 50K chaliii.Yokohama!
Hii ni zaidi ya maumivu, poleni sana wote mlionifuata najua mmeliwa lkn sio kama mimi.
Hii ni zaidi ya LOST