Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii itanifanya niache kuweka tipps hapa,
aliwahi kusema Buddy kwamba inauma sana pale unapowapa watu tip hlf mkaliwa wote huwa unajisikia vibaya


Hii ni kubashiri, lolote linaweza tokea...Hapana kujisikia vibaya, mpira ni Dakika 90.
 
Hivi hili tatizo la premier ni la bahati mbaya au la makusudi?mimi nahisi wanapunguza maumivu ya kupigwa,wanatuwekea spidi gavana tushindwe kubet!
 
Msaada please: Nitaangalia vipi mkeka wangu premierbet? Natumia simu
 
Hiii muonekano mpya ya premier betting watazidi kunikula..... Narudi meridian kwanza doh
 
daaah naziogopaga sana 3+ ila wewe ni mkali wa hizo mamboo kanjibahi angelia aisee leo bt to 2moro ntafata 3+ zako mkuu hzo zilikuwa odd za kibabaa aisee 500,
Kaponea kwny tundu la sindano mshenzi huyu ... kumbe ningeachana na hawa wajapani/korea ...ningetafuta 3+ nyingine tu ...
Leo nlikuwa naangusha mbuzi mamaaeeeee


View attachment 369940
 
daaah naziogopaga sana 3+ ila wewe ni mkali wa hizo mamboo kanjibahi angelia aisee leo bt to 2moro ntafata 3+ zako mkuu hzo zilikuwa odd za kibabaa aisee 500,



Hahahah ... zilikuwa Odds za kibabe kweli kweli mtu wngu. Ningeachana na hao wachawi nikuwa napiga km 700K hv. Ipo siku atakaa tu ... km sio kesho sijui!!!
 
hahahaaa lazima akae tuu cku moja mzeir
Hahahah ... zilikuwa Odds za kibabe kweli kweli mtu wngu. Ningeachana na hao wachawi nikuwa napiga km 700K hv. Ipo siku atakaa tu ... km sio kesho sijui!!!
 
Kaponea kwny tundu la sindano mshenzi huyu ... kumbe ningeachana na hawa wajapani/korea ...ningetafuta 3+ nyingine tu ...
Leo nlikuwa naangusha mbuzi mamaaeeeee


View attachment 369940
Hahaaaaaaa! Nimebakia kucheka tu.
Nilishasema hapa Buddy we ni kiboko kwa kutengeneza mikeka.

Yaani jero kidogo ipige 2m
 
Dua zenu jamani. nilifanya maamuzi magumu kumpa Y vasco da gama na portland timber. maana nikipigwa hapa sibeti tena wiki kama mbili au tatu.
 
Dua zenu jamani. nilifanya maamuzi magumu kumpa Y vasco da gama na portland timber. maana nikipigwa hapa sibeti tena wiki kama mbili au tatu.
Hahaha..zitapatkana hizo, sina hakika na ya mhe wa msoga ila LA tiari anaongoza 2 so lazima Portland atafunga pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…