Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inakera sana, mwezi mzima umeliwa na muhindi, siku umempata jamaa wa premier betting wanaanza kukuomba uwape kidogo,
 
refresh hiyo page.. then jaribu tena mkuu
Nme refresh lakin bdo wanazngua nkilog out inakubali kuplace nki login nkienda kwny bet now haiend dhaaa!!! Nakosa pesa hvi hvi
 
Nimejilipua kwa Gor Mahia aliposawazishiwa alipewa 2.02 odds sasa nae asiposhinda ndo anaondoka na mtaji wote.
 
Duuh ...Helsinki sasa..... Dkk3 goli 2.... .., kama ulichukua wale sita wa juu .... Subiri pesa.... Bado nnasafari ndefu....
 
Premier sibeti tena jamani. Ngoja nirudi m bet tu hata kama option zao ni chache. Yan niweka 100k ili nimpe ponte preta na basel ushindi mkeka ukagoma kwenda. matokeo yake jamaa wamepata ushindi. Daiiimn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…