Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Premier sibeti tena jamani. Ngoja nirudi m bet tu hata kama option zao ni chache. Yan niweka 100k ili nimpe ponte preta na basel ushindi mkeka ukagoma kwenda. matokeo yake jamaa wamepata ushindi. Daiiimn
yan inabid uwashukur maana kilo ingeenda iv iv
 
Inakera sana, mwezi mzima umeliwa na muhindi, siku umempata jamaa wa premier betting wanaanza kukuomba uwape kidogo,

Eeh...hii imekaaje mdau? Hao jamaa wa Premier ni wapi hao...? Wa Primier online au kwenye vituo vyao...?
 
Midystland anaenda kuwa mchawi kabla ya Helsinki.... Hongereni mliochukua sita wa juu...
 
Huku kwa NewYorkR vs NewYorkC..magoli kama mvua. Wale wa live angalie..
Ht 3-1
 
Mechi 9 odds 2.7...daah hii ni ngumu kumeza
 
Mkuu.... Nimestudy most matchez .... Nazozianalyse zinakuwa na 2+ (Buddy alishauri niwape /anawacheza wote 2+ kabakiza Halmstad)....

Kuna hesabu zake nilizisoma sehemu..... Ntazitoa nkitulia nimekuwa nazitumia kama majaribio .... 90 % zimetoa 2+.....
 



Hahahaha ... hakyanani hatuna nafuuu ... Halmstad unasubiriwa wewe tu, af unauchana bila aibuu ...khaaaaaa!!! aisee kuna timu utafkiri zimetumwa yani ....grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…