Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
hhahahha huwenda ungetia mzigo matokeo yangekua vinginevyo
Hiyo ya ningejua inakuja baada ya. Ukitia mzigo ndo unaelewa nini ni nini!
hhahahha huwenda ungetia mzigo matokeo yangekua vinginevyo
Mm sijali stake kaka. Ila kuchaniwa mkeka na odd ya 1.4 ndio sipendi.hhahahha huwenda ungetia mzigo matokeo yangekua vinginevyo
Mm sijali stake kaka. Ila kuchaniwa mkeka na odd ya 1.4 ndio sipendi.
Daah kweli mkuuBora hiyo 1.4, unaweza ukashinda odds za 2.3 na ukachaniwa na 1.12 ... huwa natamani kulia. Ndo maana skuizi km sio kokoro, siweki Odds chini ya 1.2
Inaskitisha sana unakuta had odds 1.30 inakuchania yan unataman kuliaBora hiyo 1.4, unaweza ukashinda odds za 2.3 na ukachaniwa na 1.12 ... huwa natamani kulia. Ndo maana skuizi km sio kokoro, siweki Odds chini ya 1.2
Kama uko icu yanIla pressure hatari duu anyway
Wadau si mnajua tena msimu wa vitunguu huu. Mm nimekufa na Y ya Luzern na Sassuolo, sijawachambua hao wengine.
Odd 2.1
Stake 300k.
RAT 610
Umeniwahi Buddy. 300k sio haba kwa siku. Ngoja niisome mechi arsenal nione Y yake inangapi niweke hata 50k yakulalia, nikipata hata 30k faida hiyo ni mazagazaga ya jikoni tu kesho.BIG UP mkali wa Y ... hela kibindoni.
nzuri,kwa nini unasema hvyo mkuuHabarini za kushinda jamani. Natamani kampuni za kubeti wanipige ban
Habarini za kushinda jamani. Natamani kampuni za kubeti wanipige ban
Panathanaikos anataka nibnye mbupu, ongeza gol 1
Umeniwahi Buddy. 300k sio haba kwa siku. Ngoja niisome mechi arsenal nione Y yake inangapi niweke hata 50k yakulalia, nikipata hata 30k faida hiyo ni mazagazaga ya jikoni tu kesho.