mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,704
- 9,079
West ham majembe mengi bado hayajarudi kina caroll hamna kituHuyu Westham bana duh
West ham majembe mengi bado hayajarudi kina caroll hamna kituHuyu Westham bana duh
Bg up mkuuUmeniwahi Buddy. 300k sio haba kwa siku. Ngoja niisome mechi arsenal nione Y yake inangapi niweke hata 50k yakulalia, nikipata hata 30k faida hiyo ni mazagazaga ya jikoni tu kesho.
Wako vizuri nimewithdraw jana saa 5 usiku 100k saa 9 usiku mzo umeingia
Meridianbet wame-improve kinoma noma kwenye suala la ku-Withdraw !!!
Jana nime-withdraw 110K saa moja na nusu usiku, halafu nika-withdraw tena 100K saa tatu na nusu usiku .. hadi kufikia saa 7 na robo usiku huo huo miamala yote ikathibitishwa m-pesa. Kwa hili nawapa HONGERA sn.
Wako vizuri nimewithdraw jana saa 5 usiku 100k saa 9 usiku mzo umeingia
Hahaaaa kwajirani bet wonhaha afu atalala wp leo? maana pesa ni mpk kesho akishinda
Hahaaaa kwajirani bet won
Nilivoona ivo sikuweka 1.2 ndogo sanaHata hivyo hiyo game GG waliipa 1.22 kama sikosei. Waliinyima odds kinoma.
Poa ndugLask Linz Win
Dinamo zagreb Win
Limerick 3+........ kazi kwako hapo@Muzii
Hahaaaahaaaaa...... Hata Mimi Jana nimeweka 5000 nkatoa 4000 fasta ikaingia.... Maana unaweza ukawa unafanya kazi ya kuweka tu .... Walau na Mimi nimetoa..... Hata kama ni yangu ....Mradi nimetoa nimeridhika .... Nairudisha tena afu Natoa tena.....Wako vizuri nimewithdraw jana saa 5 usiku 100k saa 9 usiku mzo umeingia
Hahahahahahaa umenichekesha sana mkuuHahaaaahaaaaa...... Hata Mimi Jana nimeweka 5000 nkatoa 4000 fasta ikaingia.... Maana unaweza ukawa unafanya kazi ya kuweka tu .... Walau na Mimi nimetoa..... Hata kama ni yangu ....Mradi nimetoa nimeridhika .... Nairudisha tena afu Natoa tena.....