Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wa kusoma njoo hapa,kivipi umesema huu ni uchawi kwenye uchambuzi wangu kutokana na odds? hlf niliwaombeni mtaji wa 5,000 kuwa mpeni atketico madrid na bentleagh greens WIN total odds ilikuwa 2.7 na nikawambia ni safe kwa 95% nacheki saizi nakuta imetiki.

Wa kusoma,
Bologna,
Root,
Mr wise.
Kujeni mnipe ka mtaji.
 
upload_2016-7-29_20-17-54.png


Ebu tujaribu hapa
 
Wa kusoma njoo hapa,kivipi umesema huu ni uchawi kwenye uchambuzi wangu kutokana na odds? hlf niliwaombeni mtaji wa 5,000 kuwa mpeni atketico madrid na bentleagh greens WIN total odds ilikuwa 2.7 na nikawambia ni safe kwa 95% nacheki saizi nakuta imetiki.

Wa kusoma,
Bologna,
Root,
Mr wise.
Kujeni mnipe ka mtaji.
Mkuu Hongera sana..mchana huwa nakua kazini hivyo siingii humu jf, ningekufata hapa. Kweli tea, zote zilikua za ushindi hizo
 
Daah zote zimetoa l0-1 first half, hii option nzur sana kukuzia mtaj
 

Attachments

  • 1469818314110.jpg
    1469818314110.jpg
    56.9 KB · Views: 35
Back
Top Bottom