OSEYO
Member
- Jul 5, 2015
- 19
- 10
CRB wameniudhi sana daahKumekuchaaa ... let's go to work. Yeye ama mimi leo ...
CRB wameniudhi sana daahKumekuchaaa ... let's go to work. Yeye ama mimi leo ...
Imekaa vzrZenit win
Trencin win
Red bull salzburg win
Stake 7000
Total odds 3.3
Mdogo mdogo paka mbaya nimerudi
Double chance hiyo?Nawaza point 8 hizi...
Pesa ya wazi hii, naifata, nangoja Sri Lanka ashinde nihamishie pesa Premier.Nawaza point 8 hizi...
Ya lunch saaafi kabisa na bia.Jeanbuk win first half
Odd 2.02
Stake 1500,000
Yap.... Wasipoteze washinde au watoe sareDouble chance hiyo?
Naomba phone namba ya Premier kma unayo mkuu pesa yangu iko Angani tupremier betting wana customer support mbaya sana.. tangu system yao ya malipo ya voda isumbue mpk leo hawajanirudishia pesa yangu na waliniomba reference no ya transaction nikawatumia (ukiwauliza kwann hawashughulikii tatizo wanasema ishu iko kwny intense investigation).. what is intense investigation? (imekuwa murder case tena).. kupata tu confirmation kutoka voda kama hiyo transaction ilifanyika na ni mda gani na siku gani hyo ndo intense investigation..?
leo nimeweka tena pesa lakini mpk sasa sijaiona kwny a/c.. na kwny a/c overview kwny transfers naona transfer iko pending.. hamu ya kupush bet imeisha kabisa bora wanipe changu nipotee mbwa hawa.. unajua hawa mbwa tunawajali kutumia bookmakers wa bongo lakini hizi ndo shukrani.. masystem mabovu yaan ovyo tu kila siku..
seriously august ni bet365 tu sitaki kusikia mbwa mwitu..
Nazima simu wadau
View attachment 373301
online wanaanzia 10000 kwenye maduka yao wanatoa kuanzia 2000Kutoa meridian unAanzia sh ngap???
Natoa 15 inazingua mbaya haitoki.online wanaanzia 10000 kwenye maduka yao wanatoa kuanzia 2000