Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

easy money mkuu? yes easy money but painful kende..

hahahahaaaa..! boss kuvizia ni tactic mojawapo ya vita. Na mpambanaji mzuri ni yule mwenye mbinu nzuri. Unaweza kumuuliza Jose Mourinho ama Floyd mayweather atakwambia juu ya hii habari ya kuvizia. Hizi friendlies zilikuwa siyo game za kuziamini sana as makocha wengi walikuwa either wanatest wachezaji ama wamepumzisha wachezaji.

I am back in business. Sasa nipo napiga jeramba kuelekea August 13, Nataka nimpige kanji KO, yaani isifike mwezi wa 9 niwe nimempiga pesa ya kujenga nyumba. Hii kwa maana nyingine ni ama zangu ama zake, Mpaka mwezi wa 9 nikimkosa maana yake ni kwamba mimi ndo nitakuwa nimepigwa pesa ya kununua starlet.
 
Daamn, kachomokea mlango huu ... nkamkamata mlango wa uani. Weitaaaa ... leta naniliu moja bariiiiidi na vipande vya ndimu ...

upload_2016-7-30_16-57-47.png

upload_2016-7-30_16-58-43.png

huyu dawa yake ni kumdokoa tu hivi hivi mdogo mdogo ... Hesabu tutapiga jioni. hehehehe
 
VfB Eichstatt - Spvgg Ansbach
VfB Eichstätt
1.32

Stade Rennes - EA Guingamp
FC Stade Rennes
2.30

Galatasaray Istanbul - Manchester Utd
Under 0.5 goals
2.17

US Lecce - Altovicentino
US Lecce (90 mins)
1.31

Inter Milan - Bayern Munich
Odd
2.09
 
SC Heerenveen - Real Sociedad
Over 1.5 goals (Half time)
Odd 2.52
 
Daamn, kachomokea mlango huu ... nkamkamata mlango wa uani. Weitaaaa ... leta naniliu moja bariiiiidi na vipande vya ndimu ...

View attachment 373438

View attachment 373439

huyu dawa yake ni kumdokoa tu hivi hivi mdogo mdogo ... Hesabu tutapiga jioni. hehehehe
Sina hamu, nilikuwa nadokoa 5000 kwa 40000 zimebaki dak 6 mjerumani kaninyoosha, heri nirudi kwenye cricket tu.
 
Sina hamu, nilikuwa nadokoa 5000 kwa 40000 zimebaki dak 6 mjerumani kaninyoosha, heri nirudi kwenye cricket tu.

Poleee mkuu ...wach mi niendelee kumdokoa. Nitapiga hesabu baadae km nimeala na 200K ama 300K ... issue hapa ni kuhakikisha unalala na hela ya Kanji.
 
Poleee mkuu ...wach mi niendelee kumdokoa. Nitapiga hesabu baadae km nimeala na 200K ama 300K ... issue hapa ni kuhakikisha unalala na hela ya Kanji.
yaani kulala na hela ya kanji ndo mpango mzima
 
Poleee mkuu ...wach mi niendelee kumdokoa. Nitapiga hesabu baadae km nimeala na 200K ama 300K ... issue hapa ni kuhakikisha unalala na hela ya Kanji.
Uza hata nyumba, Kanjibay kavurugwa, ingia Mkekabet live cricket match ya Somerset vs Sussex, hii mechi leo Somerset lazima ashinde, waweza weka hata 10000 ulipie bia hapo ulipokaa, najuta niliicheza kabla haijaanza.
 
Daah tatizo sijui kucheza Cricket ... ningetupia 100K hapo.
 
All Normal WIN

BSC YOUNG BOYS 1.41
FK JABLONEK 1.41
FERENCVAROSI TC 1.41
MSK ZILINA 1.41
TOTAL ODDS 3.7

Vigezo na masharti vimezingatiwa.

Narudia tena,wenye mitaji yenu tupieni hapa,hamtajutia coz the bet is 95% safe.

cc.
Root,
Bologna,
Wa Kusoma,
Mr Wise,
Complex,
Buddy,
etc
 
Daah tatizo sijui kucheza Cricket ... ningetupia 100K hapo.
Nimetoka kuwaambia hapa nikatupia wa mwisho 20,000/= na odds zilikuwa 3.4, naangalia sasa hivi weshashusha ziko 1.4....ishakula kwako hiyo.
 
Back
Top Bottom