Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
D
Duh..mchezo hauishi huu na nimewekeza hisa zangu zote hapa, mwenye 1M aweke Sri Lanka ashinde (1.4) live mkeka bet, zimebakia 2 wickets na Australia hawezi fikisha 100 runs kwa 2 wickets, hela ya wazi kabisa hiyo muiwahi.Pesa ya wazi hii, naifata, nangoja Sri Lanka ashinde nihamishie pesa Premier.