Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bora hiyo 1.4, unaweza ukashinda odds za 2.3 na ukachaniwa na 1.12 ... huwa natamani kulia. Ndo maana skuizi km sio kokoro, siweki Odds chini ya 1.2
Inaskitisha sana unakuta had odds 1.30 inakuchania yan unataman kulia
 
BIG UP mkali wa Y ... hela kibindoni.
Umeniwahi Buddy. 300k sio haba kwa siku. Ngoja niisome mechi arsenal nione Y yake inangapi niweke hata 50k yakulalia, nikipata hata 30k faida hiyo ni mazagazaga ya jikoni tu kesho.
 
Dah, Habarini wadau. Naona humu ndani mmebadili formula, Ni mwendo wa BTTS na GG tuu, matokeo ya mwisho yanaogopwa kama ukoma. Safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…