Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hilo Whatsapp group litatunyima raha tusio na whatsapp.
Nashauri tubakie hapahapa kama zamani. Hapa watu wanataka ingia betting wanapitia hapa huko whatsapp nina hakika mambo hayatakuwa poa kama ilivyo hapa

Ok mkuu, ila kuna kama watu 3 wameni-PM wanataka hvyo coz wanaogopa kuzungumzia mambo ya bettings hapa, wake zao wakiwaona humu itakua balaa !!! Hahahahahahaha
 
Yaani ndugu andybird314 unavyotusua daily nunua hata ascend Y300 basi, asrams nimepigwa KnockOut ya maana ndio narud leo..
 
Last edited by a moderator:
Ok mkuu, ila kuna kama watu 3 wameni-PM wanataka hvyo coz wanaogopa kuzungumzia mambo ya bettings hapa, wake zao wakiwaona humu itakua balaa !!! Hahahahahahaha

Wabadilishe majina yao
 
Kwa mwindi jana anakwambia mechi ya Guinea Vs Togo ilifungiwa,haikuwa na betting.

Yani ningekua ni mm ndo ananiambia habari za ivyo, sijuwi kwakweli, nadhani ningekua niko napiga story na kanumba this time, those are normal business loses, they must take it, legue zenye utata wasiziweke sasa, akyamungu ningemvuta pua kama foleni ya kimara ubungo
 
Ok mkuu, ila kuna kama watu 3 wameni-PM wanataka hvyo coz wanaogopa kuzungumzia mambo ya bettings hapa, wake zao wakiwaona humu itakua balaa !!! Hahahahahahaha

Mie ni mgeni bt hazuiwi mtu Kua na id zaidi ya moja ambayo mke wako hatoifahamu.

Mie nawambia thread Hii itakufa kama mtaendelea na hili wazo la whatsapp.
 
Naamin nimeanza vizur online betting mpk sasa ht jeonbuk 2-0 sangju
 

Attachments

  • 1409989661554.jpg
    81.4 KB · Views: 94

Aisee mm nisingemwelewa
 
OK sawa ziko 3 hapo nilichungulia vibaya, ngoja nikamilishe usajili kwanza hii itapunguza usumbufu wa kitaa, kila kitu unamalizia online.
 
Megamix ya muhindi...leo mpk j3 hapo nmeweka 1000 izae laki na 80
 

Attachments

  • 1409991090108.jpg
    58 KB · Views: 119
Walsall vs colchester....oldham vs fleetwood..... Kidderminster vs gateshesd.....zote hizo naenda kuweka draw.... Atakaetaka ajaribishe nae...mpira huu huwez jua...
 
Yaani ndugu andybird314 unavyotusua daily nunua hata ascend Y300 basi, asrams nimepigwa KnockOut ya maana ndio narud leo..

Hapana mkuu mbona mie nipo whatsapp longtime sana.
Ila tatizo tuko wengi sana hivyo sidhani kama ni sahihi sisi kutumia whatsapp group. Kuna wengine tutawanyima fursa ya kuchangia kuwaua hawa mabepari
 
Last edited by a moderator:
Mimi napinga wazo la whatsapp litasababisha hili jukwaa kuwa dormant.
No Whatsapp
 
Mimi leo nawapa hawa.
Peterbrough,Shrewbury,Bradford,Bristol city,Barnet
 
Wewe tumeenda sawa ndugu yangu ila mechi ya shrewbury cjaiweka nimetupia mechi ya segunda division kwa girona.
 
yann wakuu nmekuja kugundua live in play basketbal zina odd kibaooo afu probability kubwa ni kushindaaa in meridianbet ,,,,,,,,,,,,m ndo naposhinda per day nasepa si chin ya 10000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…