Aisee umeongea kiuungwana mnooooo.Mpaka unatia huruma
Nipo nalimalizia hapa milioni 85m Sportbety,andaaa 200 tuuuu.
Route ndefuuu
Tuwe tunakumbushana hivi hivi Mdau,maana mtu ukitia treni Moja au mbili zikichanika mapema unaona uvivu,but tukitiana Moyo like this ni nzuri zaidi.
Maana Matren Yangu unajuta Mechi 50 zinachana 10 na 40 zinatiki which means ipo siku njia ikikosewa tuu aiseee
Tukutane na mikeka Yangu mitatu ya
- SGR CHALAMILA - 85 millions
- SGR LUSEKELO - 20 millions
- SGR MWIGULU - 10 millions
Kesho Saa tano Kazi itarushwa humu,kesho niko Off,so usiku mzima nipo kazini hakuna pesa Rahisi