ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
Mzee bahati ni bhati tu Jana niliweka Hancap ya Goli 6 kwa Timu moja hivi ilikuwa ina odds tamu nikafata mpaka historia nikaona hainawahi kupigwa goli zaidi ya nne bwana bwama mpira unaisha katandikwa Goal 7 kwa bila..Don't be fooled by odds... Hizo mechi za hivyo ni za handcap mzee!
Mechi ya odds 22 ina mpaka handacap ya goli +6... Huwa mnaisahau sana hiyo option...
Maana kiuhalisia timu ikishapata goli 3 tu inarelax ni nadra sana handcap ya +4,+5,+6 ichane kwenye timu za taifa
Nikamaliza kwa kusema mpira ni bahati
Nahisi mechi ilikuwa ni Fc Nantes U19 na FC lorient U19 na nikampa Nantes Handcap ya 6
Kilichinikuta