Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo timu ya pili hapo umeipa goli moja kabla ya mchezo,kwamba kwa matokeo yatakayokuja yeye ana goli moja tayari, mfano ikiwa 0-0,1-1,2-2 au draw yoyote atakuwa ameshinda maana kuna goli la ziada umempa
Je wa ugenini huyo akishinda 1-2,0-1,1-3 mkeka unakuwa umetiki au umeungua
 
Uone inakuhusu nini unataka uje kunikaba! Maake kwa ngonjera zako tu unaonekana mtu wa janja janja! We chukua timu kama unaweza, kama unaziogopa waachie wenye roho ngumu! We huon watu wanastake milion na wamekaa kimya! Hzo buku buku zako ndo kanji anazitaka maana mpaka umpige ni mpaka treni lote uliweka litiki na ni ndoto! Mie nikiweka laki mechi moja yenye GG odd 2.2 wakitoa goli moja tu first half napata cash out ya 130000 hivi vitu ni akili na mtaji sio unabwabwaja tu uone dau Kwan unataka kuja kunivamia
We boya wakala wa kanji bai Atujisifii kusteki pesa nyingi tunajisifia kupata pesa nyingi
 
🚩••#TODAYS_REGULAR_TIPS••🚩
🌏 #Euro_Qualifiers
20:45;🇦🇱 Albania 🆚 Faroe Islands🇫🇴 - 1X
20:45;🇨🇿 Czech Republic 🆚 Moldova🇲🇩 - 1X
20:45;🇲🇰 North Macedonia 🆚 England🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 - Away
20:45;🇬🇬 Northern Ireland 🆚 Denmark🇩🇰 - X2
20:45;🇸🇲 San Marino 🆚 Finland🇫🇮 - Away
20:45;🇸🇮 Slovenia 🆚 Kazakhstan🇰🇿 - 1X
20:45;🇺🇦 Ukraine 🆚 Italy🇮🇹 - X2
•
🌍 #AFRICA_WC_Qualifiers
14:00;🇩🇯 Djibouti 🆚 Guinea Bissau🇬🇼 - X2
17:00;🇬🇲 Gambia 🆚 Ivory Coast🇨🇮 - X2
17:00;🇱🇷 Liberia 🆚 Equatorial Guinea🇬🇶 - Ov 1.5
20:00;🇹🇩 Chad 🆚 Madagascar🇲🇬 - X2
20:00;🇲🇱 Mali 🆚 Central Africa🇨🇫 - 1X
20:00;🇸🇨 Seychelles 🆚 Kenya🇰🇪 - Away
•
🌏 #Euro_U21_Qualifiers
15:00;🇬🇷 Greece 🆚 Portugal🇵🇹 - X2
18:00;🇸🇪 Sweden 🆚 Netherlands🇳🇱 - X2
19:00;🏴󐁧󐁢󐁷󐁬󐁳󐁿 Wales 🆚 Denmark🇩🇰 - X2
•
21:00;🇪🇸 Levante 🆚 Racing Santander - 1X
20:30;🇺🇾 Fenix 🆚 Nacional - X2
23:00;🇺🇾 Defensor Sp. 🆚 Boston River - 1X
•
🚩•#FRIENDLIES•🚩
17:30;🇷🇺 Russia 🆚 Cuba🇨🇺 - Home
18:00;🇨🇿 Czech Republic U21 🆚 Slovakia U21🇸🇰 - 1X
18:30;🇨🇵 France U21 🆚 South Korea U21🇰🇷 - 1X
•
•
💵 Total Games: 22
📝 Pick: 15
•
•
💝HURRY #SHARE {Highest Share to Football Groups & recommending our page via Reviews }✅
🚩👉NOTICE: ANY ONE WITH the HIGHEST SHARE WILL BE SELECTED TO JOIN OUR VIP FOR FREE.. Selecting Today YOU MIGHT BE LUCKY
•
⭐Our WhatsApp Vip Tips are 95% accurate
Interested? Send us a private message.

🔥For #Betting_Tips Follow
👉 Lsfootball Tips

🔥For #BANTERS JOIN
👉 Lsfootball Taunts/Vawulence

🚩Always Like to Be Lucky & comment to be our top fan

🚩# NEW TELEGRAM VP CHANNEL 🚩

👉 🚩 LSFOOTBALL CHANNEL 🚩

👉 🚩LSFOOTBALL TIPS 🚩

©•#Lsfootball_Tips•®™✓
 
Jamani hivi ukitokea umeweka ticket moja mara nyingi halafu mkeka umeshinda je unaweza pewa Hela yako
 
We boya wakala wa kanji bai Atujisifii kusteki pesa nyingi tunajisifia kupata pesa nyingi
We acha ngonjera pesa inafata pesa! Upate pesa nyingi kwa kustake 200! Weka ile 72k uliyombahatisha kanji juzi unaturingishia halafu chukua timu mbili nlizoweka GG tia mzigo tulia hapo ndo utakuwa umebet sasa sio Ngonjera zako za kila siku mara Genious we una ugenius gan ww punguza mapambio
 
3330855 Nov..
Screenshot_20231120-142710.png
24&25...

Mseme hatuichangii serikali....
Serikali iheshimu hii kazi ya vichwa vyetu...

Maana code hii moja ikiwin... Serikali inapata mshahara wa mwalimu mmoja wa secondary/muuguzi ama askari!
 
Back
Top Bottom