Jiniusi wa mambo yoteHahaha wewe ni genius wa nini sasa Kila siku unatoa lecturer na huna maajabu.
Shinda hata milioni basi siku moja sio unatufundisha tu dailyJiniusi wa mambo yote
Mkuu NAMI nilielewa hivyo mbona SPORTBET wameniwekea lost pindi litokeapo mojawapo?Tukumbushane matumizi ya OR & AND maana bila kuelewana hapa tutakua tunapeana codes za kuingizana chaka siyo kwa makusudi ila kwa kutokuelewa matumizi sahihi ya hayo maneno.
Mfano mechi ya jana imeisha kwa Spain 3 - Georgia 1
Home or under 2.5 [emoji736]
Away or over 2.5 [emoji736]
Hizo zote zinakubali sababu ukiweka OR ni inatakiwa ikubali option mojawapo au zote mbili
Home and under 2.5 [emoji777]
Away and under 2.5 [emoji777]
Ukiweka AND lazima option zote mbili zikubali. Ambapo kwa mechi ya Spain vs Georgia
Home and over 2.5 [emoji736]
Home and under 4.5 [emoji736]
Kama BADO Sema nikupe Kipande cha mkeka unaoendelea but pia Sema odds ngapi
Jana mpaka Saa saba yupo Macho analalamika humu team zimemvuruga
Jana mpaka Saa saba yupo Macho analalamika humu team zimemvuruga
Itakuwa hajaamka
Nikitaka kushinda milioni sichukui hata mwezi mmoja tena milioni kwa dau la 1000 tu .juzi nimemkosa kanji mikeka kama 4 kwa timu moja na 2 kwa dau la 1000 kumpiga milioni 10Shinda hata milioni basi siku moja sio unatufundisha tu daily
Tupe somoNikitaka kushinda milioni sichukui hata mwezi mmoja tena nilioni ya dau la 1000 tu .juzi nimemkosa kanji mikeka kama 4 kwa timu moja na 2 kwa dau la 1000 kumpiga milioni 10
Jamaa yetu Jana kapigwa aisee
Unaweza kushare hapa tuone?Mkuu NAMI nilielewa hivyo mbona SPORTBET wameniwekea lost pindi litokeapo mojawapo?
Labda uliweka "NO" unatakiwa kuweka "YES"Mkuu NAMI nilielewa hivyo mbona SPORTBET wameniwekea lost pindi litokeapo mojawapo?
ila anazopiga mbona husemi mkuu?Jamaa yetu Jana kapigwa aisee