Nipo hapa mwanangu! Leo siku mbaya kazini halafu moldovia Kala umeme ndo maana hajatoa GG! Ila naendelea kusimamia msimamo wangu, kuliko kumpa England win mwenye odds 1.21 na asishinde bora niweke GG yenye odds 2.34 hata isipotoa roho haitauma sana kuliko kufata odd 1.21 na isitoe roho itauma sana!betting haihitaji ujiamini sana mbele za watu kwamba wewe una uhakika na options zako.
yule jamaa wa GG yuko wapi?
Hatukujui mbonaMkuu Pengine unaweza ukadhani mimi ni mtu wa blah blah nahisi hunijui...Mimi huwa mpaka naongea kitu huwa nimekufanyia kzi na kazi yake nimeiona hii hapa chini ni mikeka ya leo odds za kutosha na zimetoa pia..
Mkuu mimi sio mgeni kwenye hili Jukwaa wanaonijua wananijua
View attachment 2820293
View attachment 2820291View attachment 2820292
View attachment 2820293View attachment 2820291View attachment 2820290View attachment 2820289
Cc:- Natafuta Ajira
Hapana mkuu sikumaanisha unapiga blah blah nimeongea kiuhalisia tu. Binafsi nakufatilia kitamboMkuu Pengine unaweza ukadhani mimi ni mtu wa blah blah nahisi hunijui...Mimi huwa mpaka naongea kitu huwa nimekufanyia kzi na kazi yake nimeiona hii hapa chini ni mikeka ya leo odds za kutosha na zimetoa pia..

😂😂 Mie hizo odds za 1.08, 1.02 siwek, acha niliwe tu na Ma GG yangu siku nikiona kanji kanitoa damu nyingi napumzika betting! Kubet Mechi moja moja raha sana Yan hata kanji mwenyewe anakuwa anakuogopa maana wote mnasubiri mechi moja hyo hyo! Tushaliwa kila options tumecheza sitasahau mechi ya Man city na wolves miaka mitatu iliyopita nilimpa tu atoe yeye goli moja na alikuwa on fire na yuko home na alikuwa na odd 1.02 kutoa goli moja yeye na nikaweka mzigo na mwisho wa mechi kapigwa sijui 1-0 Yan sikulala vizuri week nzimaHatukujui mbona
Mbwembwe nyingiiiii kwa odds za 0.006?
Yeye amekuandikia kitu kingine wewe unajibu kingine
Hao kina Mateee wenye kuweka 250,000 kwa mkeka mmoja wasemeje,na alikuwa mtu Simple mnoo na mkeka ukitiki humuoni kupost chochote
Sawa wewe Bingwa wa Kumlla kanji Tena wewe master,mtaalam
Kwahiyo?
Cha kwanza mkuu Punguza Shobo maana sikukujibu wewe..Hatukujui mbona
Mbwembwe nyingiiiii kwa odds za 0.006?
Yeye amekuandikia kitu kingine wewe unajibu kingine
Hao kina Mateee wenye kuweka 250,000 kwa mkeka mmoja wasemeje,na alikuwa mtu Simple mnoo na mkeka ukitiki humuoni kupost chochote
Sawa wewe Bingwa wa Kumlla kanji Tena wewe master,mtaalam
Kwahiyo?
Haina shida Mkuu tuko PamojaHapana mkuu sikumaanisha unapiga blah blah nimeongea kiuhalisia tu. Binafsi nakufatilia kitambo
C umpe Morocco weka lakiNaomben mech mbili za africa zenye possibility ya kutoa corners kumi
...za leo
MhC umpe Morocco weka laki
Usidanganyike leo Morocco hashindi ...
Kampuni gani hii???Hii option ni nzuri, ukiitumia kwa team nzuri uhakika upo.
Option 1: Home Team or GG/NG
Option 2: Away Team or GG/NG
Mfano kuanzia Ijumaa ukituliza akili vizuri na ukaitumia kwa team nzuri basi utapata pesa nzuri tu.
View attachment 2820311
hio option ipo sportybet na meridian kama sikosei,, ila kwa betpawa option yenye maana sawa na hio ni kumpa over 0.5 fav (mfano ukisema home team or gg, automatically unamdai goli home team (of which mwingine atasema away cleansheet no)Kampuni gani hii???
yaah ni kwelii mkuu..hio option ipo sportybet na meridian kama sikosei,, ila kwa betpawa option yenye maana sawa na hio ni kumpa over 0.5 fav (mfano ukisema home team or gg, automatically unamdai goli home team (of which mwingine atasema away cleansheet no)
Mkono kofiaMaafisa wenzagu naombeni mnisaidie maana Handicap
mkuu naomb nisaidie odd 9 nataka niweke mzigo mkubwaKama BADO Sema nikupe Kipande cha mkeka unaoendelea but pia Sema odds ngapi