Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada tafadhali
Mwenye mawasiliano na HELABET tafadhali either email or phone number
Helabet wanataka waniamshe kichaa mkeka umetiki wameweka LOSS bullshit dadeq
Screenshot_20231130-002822.jpg
 
Alieleta slogan ya bet what you can afford to lose... Aliona mbali sana!... Baadhi ya familia kuanzia sasa, kesho...

Amani(kwa family )haitakuwa kama ilivyokuwa!... Natambua maumivu ya wengi hasa inapopoteza timu kubwa kama Bayern...

Tujifunze kubet kwa kiasi! Betting si mahala sahihi pa kutegemea kupata pesa kirahisi. Wengi walistake high...

Ingewin hii game... Mitaa ingechangamka... Biashara mbalimbali zingefana ...

Ningekuwa na hela leo... Hata Mimi ningekuwa miongoni mwao!...ningechapika! Kwa Bayern 💯

Tuconfrensike ama tukonfrensiwe tu leo hii... Maana hakuna namna!....👇

2B5DD18
Screenshot_20231130-013152.png
 
Wakuu ni timu gani za jana saa tano pm za uefa zilizoshindwa kutoa GG au over 0.5 or 1.5 or 2.5 mana niko na kajamaa hapa tunabishana tunakoelekea naona tutachapana makofi kwa uchungu mtupe majibu kabla hakijaumana tunaanza hivi arseno katoa GG hajatoa??
 
Arsenal v RCL

6-0

Kai, Jesus, Saka, Martnell, Jojino, Odeegard
 
Wakuu ni timu gani za jana saa tano pm za uefa zilizoshindwa kutoa GG au over 0.5 or 1.5 or 2.5 mana niko na kajamaa hapa tunabishana tunakoelekea naona tutachapana makofi kwa uchungu mtupe majibu kabla hakijaumana tunaanza hivi arseno katoa GG hajatoa??
Real Sociedad vs sulzburg ,,,0-0

Arsenal vs lens ,,,6-0

Buyern vs kobenhavn,,0-0

Vita no vita mulaaa[emoji23]
 
Real Sociedad vs sulzburg ,,,0-0

Arsenal vs lens ,,,6-0

Buyern vs kobenhavn,,0-0

Vita no vita mulaaa[emoji23]
dah asante kwa muongozo huyu jamaa kumbe bwege hapa namfuata ugomvi ukaanze upya hawez kunidhalalisha mbele za watoto wakali eti mi sijui kubeti hela yangu bora nikanunua sabun nipige puli sa nikashangaa haya maneno yamezaliwa vip kumbe lenyewe ndio lijinga ngoja nikaamshe dude dadadeki churu huyu
 
No open bets sio sporty sio betpawa...anyways Leo nayo siku jamani shusheni odds tueditini turuke nazo..
 
Jana niliwaamini ka 100% Galatasaray, Sociedad, Real madrid na Bayern.

Madrid pekee ndio katoa. Waliobakia wote wameniangusha. Leo siumizi kichwa. Timu zote za German, Spain, nazipa mazima. Ila odds zianzie angalao 1.34....
 
Guys nawaambia Timu iliyofudhu usijichanganye kuiwekea mkeka. Bayer liverkusen epuka nayo
 
Back
Top Bottom