Hii nzuri tunaongeza na game zingine za uhakika sio kila siku tunabetia zile zileTeam zisizo chana mpka sasa, yan mpk kufkia leo team za kubetia ni kama ifuatavyo. Ukipuuza shauri yako
Psv win and over 1.5 odd , psv mechi za ligi mpe win bila uoga kabsa
Winterthur,frankfurt, Hoffeinham hawa popote utakapo wakuta wape GG au ukiogopa wape wafunge goli odd inauwaga 1.30.
Chesterfield huyu mwamba wa national ligi mpe win popote utakapo mkuta. Mechi za ligi pekee.
Sonderjyske huyu mwamba yupo Denmark huko mpe win and ov1.5 kwenye ligi yake bila hofu na odd zake huwa zimenyooka.
Raith rovers yupo Scotland mpe win popote utakapo mkuta.
Leverkusen win kubwa sana na over 1.5
Bromley huyu mechi yoyte akiw hom mpe win
Kama una bet weeknd betia hao watu wananipa sana pesa
3B5A7F8 betpawa mkeka wako huu.....BLOOMING
HTFT
X/X
MXB
5.00 ODDS
We comment umeandika Saa kumi na robo usiku, inamaana hamkulala?Wakuu ni timu gani za jana saa tano pm za uefa zilizoshindwa kutoa GG au over 0.5 or 1.5 or 2.5 mana niko na kajamaa hapa tunabishana tunakoelekea naona tutachapana makofi kwa uchungu mtupe majibu kabla hakijaumana tunaanza hivi arseno katoa GG hajatoa??
Wali lost zikizidi usingizi unatoka wapi mkuuWe comment umeandika Saa kumi na robo usiku, inamaana hamkulala?
dah broo nasoro umeenda mbali mpaka leo bado una kisiran na mmHivi mkuu unahangaika kumaliza Mb za kujibu Pipa!?
Si kwamba hajui! La!,
Bali anatafuta mtu mwenye kiwanda cha kuzalisha Testeromone hormones humu Jukwaani kila anapoingia! Maana inaonekana anashida nazo sana!!!
Stress za Bayern.... Chukulia Easy...dah broo nasoro umeenda mbali mpaka leo bado una kisiran na mm
The bavaria [emoji1787]naona jana mjeremani kaua dunia nzima kuanzia handcap, direct win hadi magoli