Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yani ukiangalia mechi za leo wanangu tushakulaa mamilion 😀 😀 😀 😀 ila ngoja mechi zianze mamaee
[emoji1][emoji1][emoji1] Leo tunakula aisee
Jana nilikua nakula 500k
Cash out ikaja 50 apo madread 2-1,buyern zero nikamuamini nimeamka sina ata mia lkn kubeti siachii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi mtadeposit
Wachache mta withdraw
Na ndivyo inavyotakiwa,

Wewe unaweka buku unakula laki.

Hebu fikiria watu elfu moja wa stake buku wale laki laki, si muhindi atafunga biashara?

Uzuri haya majitu ya kamari yanapiga sana hela, just imagine Bayern Munich kashindwa kupata hata goli mbele ya mtoto mdogo Coppenhagen,
Akasepa na laki mbili yangu kama utani
 
na leo nani atasepa na hela yako?
 
Vip wadau coastal anatoboa leo kwa geita! Nataka nimalizane naye! Jana nimeliwa na leo nimerudi kivingine na kubet sitakuja kuacha labda makampuni yafungwe! Na mtu akiniambia acha Kubet hakika nitamnasa makofi! Maafisa tunaamini tutafika nchi ya ahadi na ipo siku humu watu tutacheka na account zetu zikieoma milion 20 na kuendelea
 
Mimi nitaacha kubeti nikishampiga 3 B mhindi
 
1C4FE8E Sportybet odds 200+ join hii race ya kuwa milionea uache kuomba mtaji😂😂
 
Vip wadau coastal anatoboa leo kwa geita! Nataka nimalizane naye! Jana nimeliwa na leo nimerudi kivingine na kubet sitakuja kuacha labda makampuni yafungwe! Na mtu akiniambia acha Kubet hakika nitamnasa makofi! Maafisa tunaamini tutafika nchi ya ahadi na ipo siku humu watu tutacheka na account zetu zikieoma milion 20 na kuendelea
Mpe Geita Over 0.5

Striking force ya Geita na ukuta wa Coastal hawawezi kuzuia wasipate goals
Coastal ya Zamani,ILA kuipa Direct Win kwa Geita alietoka kumcjala Namungo juzi tu hapa na mzuka nado upo teleee,aisee ngum

Mie nimpema Geita over 0.5 na mkeka mwingine nimempa Geita win or draw
 
Back
Top Bottom