Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mpaka nakosa mikeka wanangu leteni codes tujaze open bets hata moja itiki tule Bata...leteni tufanye edits
 

Attachments

  • Screenshot_20231130-190937.png
    Screenshot_20231130-190937.png
    40.1 KB · Views: 30
Stake sasa....kwa nini usicheze mikeka michache ukaongeza dau? Hiyo stake siwezi cheza hata siku moja
Kwa sababu na stake wat I afford to loose..matreni yakitiki napata faida na sio kwamba hayatiki yanatiki...Cha muhimu code nyingi zenye timu tofauti sio ahly au Bayern akitoa bilabila ndo bac tena
 
Kwenye professionalism... Usilinganishe na ridhaa! (Amateur!)

Kufuzu kwa timu yoyote professional... Haimaanishi ya kwamba watapoteza game...kwa kuwa tayari wamefuzu...

Endelea kujidanganya! Na kuendelea kuota!
Anakariri
Wakati Real Madrid jana kamcha mtu 4 wakati hata angefungwa ameishapita

Jamaa anataka aseme tu,si niliwaambia
 
Back
Top Bottom