Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nitake radhi mkuu.... Mm sio Ten hag!... Mlaumu yeye na vifaranga wake11 wakiongozwa na Bruno...

Pili....ujilaumu wewe mwenyewe kwa kujipachika gono la kujitakia! ....Kwa manzi wa Riverside... (Man U)... Halafu ulalamike umerogwa!!!
🤣🤣🤣
 
Nasema kuweni makini na Bayer liverkusen isije ikawa Kama Bayern munich
huyo usiwe na wasiwasi naye, anacheza na timu dhaifu sana. hata akichezesha kikosi B bado anashinda hii mechi.

7PCTH (1xbet)
2300 hrs.jpg
 
Baada tu ya kutoa bonus nikapasua na lain niliyokuwa natumia kuweka pesa betpawa ,hawana jipya kabisa [emoji23]
Hata waliobaki BP....Wana moyo!... Ndio wale wafia dini haswaa!

Wale wa kuthamini chetu... ni chetu... Nyumbani kumedoda... Lakini Kwao huwaambii kitu....! Kindaki ndaki!

Kwa sasa BP anazidiwa bonus na sporty zaidi ya mara 3... Kama huamini... Hakiki mwenyewe!
 
Atarudisha tu lakini
 
Back
Top Bottom