Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa timu za saa Tano ndo zitaamua tunalala na hela au viatu
Screenshot_20231130-231756.png
 
Roughly cooked for today ...
4CA0DCE⚽,

Roughly cooked for tomorrow..... FAABBE7⚽

Will finalize vetting & final edits shortly...

By the moment we have... Do your own edits .. and share the flowers!

Keep it
SPORTYBET...

Kazi iendelee...!.. ukifika umechoka.. ni wewe!... Sio wote .. Hapa kazi kazi...

Toa kitu... Weka kitu!!
 
betpawa Wana edit na kuficha mikeka kuweni makini.. hasara waliyoipata wanafanya kila namna isijirudie
Nilivoona betpawa wanaweza kupoteza mkeka wako ambao umeshastake kutoka kwenye settled ,nilivoona wanaweza kubadili kiasi cha pesa ambacho tayari ulishabet wao wenyewe [emoji23],nilivoona wanauwezo WA kubadili bonus hata Kwa mkeka ambao umesha stake siku mbili nyuma ...

Niliona Hawa jamaa Ni matepelii tu hawashindwi kuedit mkeka kama uliweka over1.5 na kuongeza kuwa over 2.5 ...
 
Back
Top Bottom