Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,957
- 8,206
Ivi uwa mnashinda kweli? Maana kila nikijaza code zinachana jana nimechukua kodi tatu za betpawa zote zimechana
wkt mwingine na wewe unafanya editing, sio lazima kuweka kama ulivyo. jana kulikuwa na odd 500+ hapa zimechana team mbili tu, ungeamua kuchukua team zako tano leo ungetoboa.Ivi uwa mnashinda kweli? Maana kila nikijaza code zinachana jana nimechukua kodi tatu za betpawa zote zimechana
Aisee hili tukio linauma Sana tena Sana pole kamandaYan huu mkeka ilibidi kanji apasuke M6 kwa game 24 lakin mpuuzi 1 anakuja kuchana kwa dc ya 12 anatoa sare View attachment 2830143
pole sana mkuu maumivu ni makaliiYan huu mkeka ilibidi kanji apasuke M6 kwa game 24 lakin mpuuzi 1 anakuja kuchana kwa dc ya 12 anatoa sare View attachment 2830143
Mimi kubeti sijuagi kabisa yani hata hayo na codes siyajui ndio uwa nayachukulia humu ya bet pawawkt mwingine na wewe unafanya editing, sio lazima kuweka kama ulivyo. jana kulikuwa na odd 500+ hapa zimechana team mbili tu, ungeamua kuchukua team zako tano leo ungetoboa.
😀 😀 😀pole sema hapooo badoooLIGI YA INDONESIA NI YA KIQMA SANA NI FIXED GAMES WAPUMBAVU NA HAWAJUI MPIRA NA MSITHUBUTU KUWEKA HELA ZENU.
SPORTYBET INAKuna watu naiinaga mnaandika win and over ni app gan mnatumia kucheza mechi moja mara mbili?