Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Roughly cooked for today ...
4CA0DCE⚽,

Roughly cooked for tomorrow..... FAABBE7⚽

Will finalize vetting & final edits shortly...

By the moment we have... Do your own edits .. and share the flowers!

Keep it
SPORTYBET...

Kazi iendelee...!.. ukifika umechoka.. ni wewe!... Sio wote .. Hapa kazi kazi...

Toa kitu... Weka kitu!!
kukosekana kwa search option kwenye sportybet kunakera sana
 
😂😂😂😂
Sawa kwa Edit

Kesho pia nayo ni siku mdau
Mfano nikikuandikia ki Old School timu ya NATIONAL AL AHLY unaweza usielewe nazungumzia timu ipi. Hii ni hii hii Al Ahly inayocheza na Yanga kesho jumamosi.

Hicho kianzio "National" kipo tu ingawa hakitumikagi. Celtic mwenyewe anaitwaga CELTIC GLASGOW ila hiyo Glasgow hua haitamkwagi tu.

Hata Yanga huitwa DAR ES SAALAAM YOUNG AFRICAN lakini hii Dar es Salaam hua haitajwagi sana. Sasa ikitokea mtu akataja hizi basi nyie msiofuatilia hizi historia huona kama mtu kakosea.

Mtu akikuandikia JUVENTUS TURIN usidhani kataja teams mbili ingawa kuna timu ingine inayoitwa Turin (Torino). Ila hili neno Turin halitajwi sana inapotajwa Juventus.

Kwa hiyo usikariri Mzee, sometimes ukikubali kua huelewi ni rahisi kueleweshwa ukajua tofauti kuliko kukomaa kua unajua wakati wapo waliokupita uelewa.
 
Back
Top Bottom