Wewe unaejua kubeti utakuwa umeshatajirika kwa ajili ya kubet, hongeraHivi nyie huwa mna bet vp? Sasa kweli besiktas ni wa kumbetia? Kwa msim huu hao besiktas hawatabiriki kabsa wanafungwa fungwa sana, muwe mna fatilia mechi kabla kubetia.
Me hata nikiliwa huwa nasema haikua ridhik tu ila nilifanya uchambuz nikaamini nipo sahihi.
Sas ww unambetia besiktas mtu haelewek msim huu
Bora ww una 0, Mm nna -
Hapana, Tot ata awe vibaya Vp na man City awe vizuri Vp. Mara nyingi Tot hua anapata matokeo kwakeHuyu kocha wa Tot ni hatar
Hiyo option ni tofauti na aliyouliza Afisa Ubashiri.... Option hii ya 1st half or Match results na Draw in either half ni vitu viwili tofauti......sportybet ipo, inasema 1st half result or match result ....draw!
Watakushangaza.....Ligi ya uholanz mechi zote zimetoa 1.5
Ligi ya Uingeleza mechi zote imetoa 1.5
Ligi ya france mechi zote mpk sasa zimetoa over 1.5
Ligi ya italy leo mpk sasa zimetoa over 1.5
Kuanzia nextweek ntakuwa nacheza ligi pekee kila ligi naweka over 1.5 naweka mzg
Kesho weka 10k mapambano yaendelee kuitafuta pesa ya krisimasiLeo Spain wame nilaza na viatu .nme deposit 20k hadi sasa na 0.02 tzhs kanji wa sportbet ni famba na void zake ...usiku mwema wakuu🫡
Umetisha mkuuuWakamaria never say never aisee.... Leo nilipigwa 100k na kanji mchana, epl za saa 11 half time nikacheza Liverpool apate goli 2 second half, fiorentina goal 1 second half, brighton goal 1 second half na Aston villa goal Moja 2nd half nikaweka 195,000/= aisee naangalia matokeo dakika ya 85 fiorentina tu ndo katoa, wengine hata goli hamna nikajua nishapasuka, naangalia dakika 5 mbele, nafungua akaunti ya meridianbet ndo hua naangalia matokeo huko nakuta akaunti inasoma 1.3M aisee magoli yote dakika za usiku
Nilikua nakunywa black and white hapa kubwa naenda tu nyumbani maana hii furaha itaniletea majanga tu...
Mtandao tu relax mkuu, masikini tunalalamika kuliko kuvuta subraMSAADA BET PAWA WAMENIFUTIA MKEKA WANGU WA MECHI 58 NA ZILIKUWA ZIMEISHA TIKI MECHI 22
Kuna timu cheche mkuu, kubali taarifa, ni sawa utoke umpe man u mzimamzima, au au pale saudi uwape kina benzema dakika yoyote wanakiwasha🤣🤣Wewe unaejua kubeti utakuwa umeshatajirika kwa ajili ya kubet, hongera
Sevilla v villareal niliwaomba goli 2 mpaka sasa dakika ya 62 bila bila najiona kabisa naangamia.
Bora aisee, tena wamepiga goli 2 ndani ya dakika 2. Sasa namsubiri napoli na inter nimalize shughuli kwa goli 2 hizo hizo.Tayal